Mwanaume: Usijaribu kujitoa kafara kwa mambo yafuatayo

INSONSILE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,865
Reaction score
2,724
1. Usijaribu kumfia Mwanamke: Usivimbe kichwa kwa jinsi mwanamke anavyokusifia eti unamkuna kisawasawa,eti unajua mapenzi, au akikuambia jinsi unavyojali familia yao, au kwa jinsi unavyomhudumia. Hayo yote ni mbwembwe tu za kuhakikisha anaendelea kula mpunga wako na kujihakikishia security ya baadaye. Utakuja kujua kuwa hujui siku either huna nguvu umezeeka, au unaumwa ugonjwa ambao anajua kabisa huwezi kurudi normal, au huna hela umekuwa broke. Hapo ndo utajua sura halisi ya mwanamke.

2. Kazini kwako: Usijaribu kuifia taasisi. Fanya kazi ya watu kwa viwango vya kuridhisha ila ujue hakika, hata kama ulijinyima muda, nguvu na rasilimali zako kuhakikisha taasisi inafikia viwango vya juu vya ufanisi. Siku mafanikio hayo yanafikiwa wewe unakuwa umechoka unatupwa kama dampo no body never knows about you. Watakuja kukaa kwenye hicho kiti wajuaji, wapigaji ambao watajineemesha huku ukifa kwa majuto na mateso.

3. Wafanyakazi wenzako ofisini: Usijifariji kwa jinsi mnavyopeana kampani sasa hivi. Ni kwa sababu wanaona kuna vitu wananufaika kwa uwepo wako. Pata shida kazini, ugua ugonjwa mbaya, pata shida za kiuchumi na mengineyo. Unasahaulika haraka. Kuna mtu namfahamu alipata changamoto akasimamishwa kazi, baada ya muda fulani nilishuhudia watu wakidelete namba zake. Mungu si athumani kesi ikaendeshwa akaja kushinda akarudishwa kazini. Hao hao watu waliofuta namba zake ndio waliokuja kuzisevu tena na kujisogeza kwa jamaa. Kiufupi, kazi ndio inawaunganisha watu, bila hiyo kazi watu wanakudelete haraka.

4. Ndugu: Kuna watu wanateseka maisha yao kusaidia ndugu. Jambo la kushangaza hao ndugu wakija kufanikiwamambo yao na huku mambo yako yameenda mrama, hakuna wa kukusogelea tena, hakuna anayekumbuka fadhila zako. Kila mtu yuko bize na mambo yake.
Kwenye hii listi,unaweza kuongeza kipengele gani mwanaume mwenzangu?
 
Kwa kizazi cha Sasa ndugu zako ni familia yako, mkeo na watoto ., wekeza sana hapo hao wengine sijui kaka dada shangazi mamdogo wapambane na Hali zao. Wazazi ni muhimu kuwasaidia. LAKINI ukumbuke kuwa ukipata shida hakuna atakae kuhurumia zaidi ya familia yako. Saidia ndugu Kwa kiasi usisahau familia yako. Na usitegemee msaada baada ya kuwasaidia fanya kama sadaka
 
1. Usijaribu kumfia Mwanamke: Usivimbe kichwa kwa jinsi mwanamke anavyokusifia eti unamkuna kisawasawa,eti unajua mapenzi, au akikuambia jinsi unavyojali familia yao, au kwa jinsi unavyomhudumia. Hayo yote ni mbwembwe tu za kuhakikisha anaendelea kula mpunga wako na kujihakikishia security ya baadaye. Utakuja kujua kuwa hujui siku either huna nguvu umezeeka, au unaumwa ugonjwa ambao anajua kabisa huwezi kurudi normal, au huna hela umekuwa broke. Hapo ndo utajua sura halisi ya mwanamke.

2. Kazini kwako: Usijaribu kuifia taasisi. Fanya kazi ya watu kwa viwango vya kuridhisha ila ujue hakika, hata kama ulijinyima muda, nguvu na rasilimali zako kuhakikisha taasisi inafikia viwango vya juu vya ufanisi. Siku mafanikio hayo yanafikiwa wewe unakuwa umechoka unatupwa kama dampo no body never knows about you. Watakuja kukaa kwenye hicho kiti wajuaji, wapigaji ambao watajineemesha huku ukifa kwa majuto na mateso.

3. Wafanyakazi wenzako ofisini: Usijifariji kwa jinsi mnavyopeana kampani sasa hivi. Ni kwa sababu wanaona kuna vitu wananufaika kwa uwepo wako. Pata shida kazini, ugua ugonjwa mbaya, pata shida za kiuchumi na mengineyo. Unasahaulika haraka. Kuna mtu namfahamu alipata changamoto akasimamishwa kazi, baada ya muda fulani nilishuhudia watu wakidelete namba zake. Mungu si athumani kesi ikaendeshwa akaja kushinda akarudishwa kazini. Hao hao watu waliofuta namba zake ndio waliokuja kuzisevu tena na kujisogeza kwa jamaa. Kiufupi, kazi ndio inawaunganisha watu, bila hiyo kazi watu wanakudelete haraka.

4. Ndugu: Kuna watu wanateseka maisha yao kusaidia ndugu. Jambo la kushangaza hao ndugu wakija kufanikiwamambo yao na huku mambo yako yameenda mrama, hakuna wa kukusogelea tena, hakuna anayekumbuka fadhila zako. Kila mtu yuko bize na mambo yake.
Kwenye hii listi,unaweza kuongeza kipengele gani mwanaume mwenzangu?
Madini.com
 
Katika imani ya kiislamu kazi ni ibada,unatakiwa utimize makubaliano ya mwajiri kama mlivyokubaliana,kama mkataba unasema utafanya kazi masaa 8 basi iwe hivyo kinyume chake utakuwa umevunja makubaliano na utapata dhambi,ukifanya kwa makubaliano unapata malipo,uislamu raha

Sisemi kumuibia mwajiri,epuka kipato haramu,kinakukosesha neema nyingi sana,sadaka yako haitakubaliwa,unakula haramu,unavaa haramu,je wewe utakuwa mtu wa namna gani,hlf ukifa utasikia watu wanasema rest in peace hovyo kabisa

My point is haijalishi hiyo kazi utaiacha na kukaliwa na wengine,we just do majukumu yako kama mlivyokubaliana na mmwajiri
 
Sasa huku Kuna wasio amini ,wapagami , walokole ,wakristo ,watu wa jadi na nk bwashee
 
Bwashee hao waendelee tu na maisha yao,sie tunatoa ushauri tu,kwasababu siku ya hukumu hakuna sijui mie sikuwa muislamu,au mie sikuamini Mungu,hapo ndio utajua hujui
 
I'll
Katika imani ya kiislamu kazi ni ibada,unatakiwa utimize makubaliano ya mwajiri kama mlivyokubaliana,kama mkataba unasema utafanya kazi masaa 8 basi iwe hivyo kinyume chake utakuwa umevunja makubaliano na utapata dhambi,ukifanya kwa makubaliano unapata malipo,uislamu raha

Sisemi kumuibia mwajiri,epuka kipato haramu,kinakukosesha neema nyingi sana,sadaka yako haitakubaliwa,unakula haramu,unavaa haramu,je wewe utakuwa mtu wa namna gani,hlf ukifa utasikia watu wanasema rest in peace hovyo kabisa

My point is haijalishi hiyo kazi utaiacha na kukaliwa na wengine,we just do majukumu yako kama mlivyokubali
Waafrika wengi tunafuata dini LAKINI hatumwamini na kumwogopa Mungu, angalia viongozi WETU hawakosi misikitini na makanisani LAKINI ndo mafisafidi wauaji na mahakama na polisi zimejaa dhuluma Sasa hapo unajiuliza dini Zina faida gani kwetu waafrika tumejaa unafiki wakuitwa majina ya kiarabu na kizunguhakuna Imani hapo
 
Nondo tupu mkuu.

1.Ni kweli kuna watu kweli huwa wanajaa wakiambiwa hivyo ,sisi kuna jamaa alikuwa anajisifia kwamba Demu wake anamkubali anavyompelekea moto ,siku ikaja kugundulika Demu wake kuna Boya mwingine anamgonga ,jamaa aibu kilo 100 ikabidi amwagane naye mazima.

2.Yes ,Kazini wewe piga kazi ,fuata taratibu sa ofisini ili usije ukajitolea hadi kuathiri muda wako unajidanganya...Kama mnatoka saa 11 ikifika 11 ondoka ,kama kuna muda wa ziada wakulipe au kama hawakulipi utaendeleza kesho.

3.Ni kweli issue za kazini zina mambo mengi sana ,kila mtu anajua anavyoishi ,msije kuigana makazini ,mwingine ana deal za nje kibao zinamuongizia pesa na vile vile usione ukadhani ,Mkubwa Fella tulikuwa kwa nje tunajua ni TAJIRI sana na hata yeye alishawahi kusema analipwa Usd 20,000 kwa mwezi kutoka WCB lakini alipoumwa Familia yake ilimpeleka Dispensary ya mtaani hadi "Dayamondi" alipopata taaarifa na kumpeleka TMJ.

Kweli wahenga walisema Usione ukadhani ,fitina titi la paka halifai hata kwa mtindi...fitina ngozi ya ngoma haifai kwa kuwambwa.

4.Msanii Mtazania Mwenzetu Obama CB alishawahi kuimba "TENDA MEMA USINGOJE SHUKRANI CHEKA NA WATU WOTEE MUZAMIL KATUNZI".

Fadhili mfadhili Mbuzi binadamu atakuhudhi tu ,bora mbuzi ipo siku utamywa mchuzi.
 
Dah mwishoni hapo umenipeleka mbali kwa maneno yako kaka .

Hivi yu wapi MUZAMIL KATUNZI?
 
I'll

Waafrika wengi tunafuata dini LAKINI hatumwamini na kumwogopa Mungu, angalia viongozi WETU hawakosi misikitini na makanisani LAKINI ndo mafisafidi wauaji na mahakama na polisi zimejaa dhuluma Sasa hapo unajiuliza dini Zina faida gani kwetu waafrika tumejaa unafiki wakuitwa majina ya kiarabu na kizunguhakuna Imani hapo
Ndugu we acha tu ni mtihani sana kwakweli,wale wafanye ufisadi tu na kula mali ya nchi kwa haramu,wataishi kwenye miaka ya 79 na 80 kisha shughuli imeisha,wanarudi kwa Mola wao,hapo ndio patamu
 
Back
Top Bottom