Mwanaume, usifanye ngono na mwanamke unayetaka kumuoa, ni laana

halafu kipaji hapatikani kwa simu namtafuta kweli kweli nimpe,wewe nataka unioe bana
Ulimdengulia sana.. Unajua mwanamke ukiringa sana, hamu kwa mwanamume inakata anakuona kama dada tu. Kipaji kasafiri hayupo nchini. Mtumie PM. Ila Mungu kakubariki aisee.. Msalimie Mzigua90.. Namthamini sana mwambie.
 
Back
Top Bottom