Mwanaume, usifanye ngono na mwanamke unayetaka kumuoa, ni laana

Kama mpenzi wako wa kumuoa jicho lako linamuona kama mbuzi huyo hakufai tafuta mwingine. Halafu kama unaoa sababu ya kusex naye kumbuka sex inachosha na siku ukichoka ndo mwisho wa ndoa. Ndoa ni upendo na maisha. Ndoa ni taasisi. Sio uwanja wa kungonoka.
Hebu OA kwanza basi ndio mana unaongea mineno mingi lakini hujui lolote.
Familia kibao zinaishi unakuja na ufunuo feki hapa.
 
Kuna raha ya aina yake kuoa binti ambaye hamjawahi kufanya sex naye. Na hata heshima ya ndoa inakuwa kubwa
Kama ni bikra sawaa ndo mpango wa Mungu
Vinginevyoo posa hadi ndoa miezi 3-6 wenzako wanakusaidia which to me is BS

Sisapoti kununua mbuzi kwny gunia
Kpnd cha semina ya ndoa fanyeni toba over..Mungu ni mwenye huruma na anasamehe na kusahau
 
umeleta somo zuri na gumu kufaulu......ili kudhibiti tamaa ya mwili oa/olewa.....so ili kuidhibitisha tamaa mnangonoka.......hakika ya kweli kabisa kikombe hiki kitawapasukia wengi..............Tumche Mola..
 
Back
Top Bottom