Mwanaume, usifanye ngono na mwanamke unayetaka kumuoa, ni laana

Ulimdengulia sana.. Unajua mwanamke ukiringa sana, hamu kwa mwanamume inakata anakuona kama dada tu. Kipaji kasafiri hayupo nchini. Mtumie PM. Ila Mungu kakubariki aisee.. Msalimie Mzigua90.. Namthamini sana mwambie.
tatizo hakuambii mengine kama hayuko nchini ndo nazidi kumpenda,bado nko nawewe nataka unioe Mzigua90 mtoto wa mjini utamuweza?
 
Mwakani nataka nioe, kama utakuwa hujaolewa ntakucheck. Ila Mzigua90 katulia hata kama wa mjini. Wewe una mambo mengi sikuwezi. Halafu kipaji hawezi kukuita shemeji. Ntakusaidia kumbembeleza akuoe.
 
kipaji ameshaoa,nlimuamuambia awe muislam akakataa,wewe nioe bwana
 
Kama mpenzi wako wa kumuoa jicho lako linamuona kama mbuzi huyo hakufai tafuta mwingine. Halafu kama unaoa sababu ya kusex naye kumbuka sex inachosha na siku ukichoka ndo mwisho wa ndoa. Ndoa ni upendo na maisha. Ndoa ni taasisi. Sio uwanja wa kungonoka.
Shake well b4 use natafuna sana mpka nimeoa,huo ushauri kma wa polepole yule sura ya zamani akili za mtoto
 
kipaji ameshaoa,nlimuamuambia awe muislam akakataa,wewe nioe bwana
Mimi sitaki kuwa muislam. Sheria ya kutokula kitimoto na bia itanishinda. Kumbe ndo maana Kipaji alianza tabia ya kunambia As-Salaam-Alaikum. Kashakubali masharti. Hivi Mzigua90 naye ni zaujat? Sijui atakubali badili, nataka mke kutoka Tanga.

Kwanza wewe unao wengi. Bujibuji alikuwa ananiulizia kama umeolewa. Siku ile bujibuji alikukwapua kama mwewe mkaenda kule juu gorofani kicheza muziki. Sijui mlienda Maisha! Nikamwambia Kipaji mtandio tuutupe akakataa.

Ila Mungu kakujalia uzuri. Upo vizuri sema siwezi kukuoa. Mwakani naoa, jiandae kupiga vigelegele.
 
fala wewe nimecheka kama mwehu,NJOO PM KWANZA
 
Jamani Kipaji Halisi yuko wapi siku hizi?
amu, figganigga hebu tu arrange kuonana aisee
 
Back
Top Bottom