NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
ujue huyo si mwanaume tenaWanaume wanapenda mambo ya urembo. Kuna wengine utakuta eti na yeye yuko saluni kwa wapaka rangi, anataka kucha zake zipakwe rangi ile colorless
hahahahaah, yaani kuna vituko huku mjini jamani. mwingine unakuta eti na yeye kapakatwa miguu na mtengeneza kucha eti anasafishwa na kufanyiwa masaji hahahahahujue huyo si mwanaume tena
Boy george. Mwanamuziki wa miaka ya 1970- 1980 na early 1990.
Kusafisha uso kutoa chunusi wanakuweka scrub usoni..Facial ndo nini?
Huyo mwanaume wa dar typical. Mwanaume unapakwa rangi realy?Wanaume wanapenda mambo ya urembo. Kuna wengine utakuta eti na yeye yuko saluni kwa wapaka rangi, anataka kucha zake zipakwe rangi ile colorless
Ukiona mtu wa hivyo tafadhali acha kumhusisha na Wanaume huyo ni Mwanamke mwenzenu ila yeye ana uume hiyo ndiyo tofauti.
Huyo nilimuona Mwanza mkuu sio Dar. hahahahah. Labda kama ni wa Dar alikuja kikazi au matembezi huku Mwanza😀😀😀Huyo mwanaume wa dar typical. Mwanaume unapakwa rangi realy?
Mzee wa come a chameleonBoy george. Mwanamuziki wa miaka ya 1970- 1980 na early 1990.
Kwa wale wapenz wa flash back music au old schoool za mambele watakuwa wanampata huyu bwana.
ahahha apana mkuu ni vinyele vile vya mwilini hua wanaume wanakua navyo mpaka kwenye kifua ..malaika ndo nyusi mkuu??
Huyo ni SHOGA acha kupoteza muda kumfuatilia.Angekua Taifa jengine ningeelewa labda utamaduni wao ila huyu lakini haelekei kua shoga.
Yaan ni hiv wanaume wa dar ni wale legelege , wapenda vitu vya wadada. Inaweza isiwe anaish dar.. ila huyo kazidHuyo nilimuona Mwanza mkuu sio Dar. hahahahah. Labda kama ni wa Dar alikuja kikazi au matembezi huku Mwanza😀😀😀