Nikikuta Duka au Ofisi anauza mwanamke naweza nikarudi nilipotokea au kutafuta Duka analohudumia mwanaume

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
988
3,318
Kwakweli sijui ni mimi au vipi, kitu nlichotafiti ni kuwa wanawake wengi wa Kitanzania hawajui Biashara wala Customer care na wengi ni mashauzi yani huwa nikimkuta mwanamke anuza duka au kutoa huduma flani naweza tafuta maduka ya wanaume wenzangu niwaungishe ila hawa watu ukiwaweka kwenye biashara yako unaweza kuiweka kwenye Risk

Ushahidi ni wanawake wenyewe yaani wao kwa wao hawapendani sababu ya tabia zao, utakuta mwanamke yupo free kufanya biashara na mwanamme ila sio mwanamke mwenzake
 
Kwakweli sijui ni mimi au vipi, kitu nlichotafiti ni kuwa wanawake wengi wa Kitanzania hawajui Biashara wala Customer care na wengi ni mashauzi yani huwa nikimkuta mwanamke anuza duka au kutoa huduma flani naweza tafuta maduka ya wanaume wenzangu niwaungishe ila hawa watu ukiwaweka kwenye biashara yako unaweza kuiweka kwenye Risk
kweli mkuu,mimi nikisimamishwa na trafiki wa kike barabarani,,,tumbo la kuhara linaanza kuunguruma!!!!!!
 
Kuna mijanaume ina mood mbaya kuliko wanawake, ukilikuta limekaa counter lina majibu mabaya kama limemekunywa maji ya chooni.
Customer care au service ni culture ambayo mtu lazima afundishwe, hazaliwi nayo. Na haifundishwi kwa siku moja ni mafunzo endelevu mpaka kuitwa culture maana yake inakuwa ni sehemu ya maisha yake. Ndip maana msichana huyo huyo ukimkuta kwenye international organization anakuwa na tabia tofauti, ukimkuta serikalini anakuwa tofauti ukimkuta kaajiriwa na mtu binafsi anakuwa tofauti. Cse big organizations zimeinvest sana kwenye kutrain on customer care. So angalia ni wapi unapohudumia kisha uwe muelewa tu kutokana na mazingira 😆😆
 
Kwakweli sijui ni mimi au vipi, kitu nlichotafiti ni kuwa wanawake wengi wa Kitanzania hawajui Biashara wala Customer care na wengi ni mashauzi yani huwa nikimkuta mwanamke anuza duka au kutoa huduma flani naweza tafuta maduka ya wanaume wenzangu niwaungishe ila hawa watu ukiwaweka kwenye biashara yako unaweza kuiweka kwenye Risk
 
Wanawake kadhaa customer care ni mbovu, na mashauzi mengi. Pia hata Wanaume wa namna hii wapo...

Pia wapo wachache wanaojua nini maana ya mteja, huduma utapewa nzuri utatamani kurudi...
 
Back
Top Bottom