LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 28,490
- 44,674
ni dharau, kutokujali, itaonekana umemu underestimate mpenzi wako na kupelekea apandwe na hasira kali za wivu wa kimapenzi kiasi cha kutoa uhai wako au wake. Cheating si nzuri kwa wapenzi, ila isiwe taabu ukipata mpenzi jua mko wengi mna share love ili usiathirike kimapenzi pindi mpenzi wako atakapo ku cheatHivi kwanini kucheat huwa inaathiri mahusiano kwa kiwango cha juu sana!