sijawah kula hata sh. mia kutoka kwake jamaniHapo kweli kakukosea.
Ila yawezekana ,umekula pesa zake ?? Vitu vyake kibao ??.
Yawezekana ulikua unampa mazingira ya moyo nayeye akawa anajua siku moja yes ???.
Alafu Leo ndo unamwambia sikutaki ??. Nayeye nibinadamu kwanza alipokuambia *nilikuambia nakutania ,mtu mwenyewe wakawaida sana* bila shaka naww umeumia kiasi ??? Ukashika kioo ukajitazama?…
Sena nini
Kweli mwanamke akiringa muache aende zake ILA KAMA haumtaki MTU MKATAE ON THE spot ,pale pale unamchana.
Sio ule ela zake + zawadi+mambo mengi Alafu ndo useme *am sorry Putin ,me I have my boyfriend*....kirahis ivo???? Bora alokutana ,Mimi nilikua nakudai vyote ulivyokula.
Sawa basi nakama hukua unampa.mazingira ya "Mvumilivu hula mbivu" basi amekukosea sana .sijawah kula hata sh. mia kutoka kwake jmn
amenitukana matusi siwezi kuyaandika hapa zaid ya hcho
Mpotezee tu mrembo.Habari zenu wapendwa
Kuna kaka mmoja baada ya kunitongoza mda mref na mm kutoonesha dalili za kutaka kuwa nae, leo kaamua kunipigia simu na kunitukana matusi eti najifanya naringa kumkataa yeye, kwanza alikua ananijaribu tuu....
nimechukia sana jmn sijamjibu chochote nimemsikiliza, nikamwacha na akili zake fupi...
all in all, mwanaume unaejielewa unamtukanaje mwanamke kisa kakataa kuwa na ww kimapenzi?
Usikasirike, huyo sio mwanaume ni mvulana, angekusumbua sana maana Bado ni mtoto hata kama ana miaka 90nimechukia sana jmn sijamjibu chochote nimemsikiliza, nikamwacha na akili zake fupi...
Habari zenu wapendwa
Kuna kaka mmoja baada ya kunitongoza mda mref na mm kutoonesha dalili za kutaka kuwa nae, leo kaamua kunipigia simu na kunitukana matusi eti najifanya naringa kumkataa yeye, kwanza alikua ananijaribu tuu....
nimechukia sana jmn sijamjibu chochote nimemsikiliza, nikamwacha na akili zake fupi...
all in all, mwanaume unaejielewa unamtukanaje mwanamke kisa kakataa kuwa na ww kimapenzi?
Katoa nyongo kapata nafuu... Umefanya vizuri kutomjibuHabari zenu wapendwa