Tukianza tukaishia njiani uwabata umetumeza🤣Na 26 sasa nipo kwenye mchakato huo.
Naamini kabla sijapinduka 27 nitahakikisha nimepata mke.
Nikidhamiria jambo hakuna wa kunikatisha tamaa labda Mungu tu.Tukianza tukaishia njiani uwabata umetumeza🤣
Ni kwer ata sisi hakuna Alie tukatisha maamzi tuliyoweka lkn tuliishia wapiNikidhamiria jambo hakuna wa kunikatisha tamaa labda Mungu tu.
Mkuu sijamposition mwanamke kama liability, wala sio jamii imefanya hivyo bali wanawake wenyewe. Stress za mwanamke zinaisha au zinapungua rasmi anapofunga ndoa na kwa mwanaume ndo zinaanza rasmi. Kwa ufupi wakati wanaume tukipambana kutafuta maendeleo, wanawake wanapambana wapate bwana aliyefanikiwa baada ya kupambana. Ulichokngea ndo ilitakiwa iwe, lakini Kwa bahati mbaya haiko hivyo. Asilimia kubwa ya wanawake kama sio wote hawatafuti mwenza wa kuishi nae na kujenga familia, wanatafuta mwanaume mwenye mafanikio atakayeweza kumtunza na kumfanya atambie wenzake. Hiyo asilimia chache waliobakia ndo sijaiona, siku nikikutana nae nitajua hapo ndo nitaoa, lakini wengi ninao kutana nao chenga. Wakae hukohuko tutembeleane, tugongane, tusaidiane ikibidi tuzae nitatoa support ila Kila mtu aishi kivyake.Una point kubwa sana, lakini hapa mwanamke umemposition kama "liability" na ndipo tatIzo la jamii zetu lilipo kwa sasa.
Mke au mume kwenye ndoa ni partner, a friend, destiny helper, mtu atayekusaidia kukamilisha kusudi lako hapa duniani kamwe hawezi kuwa mzigo.
Tunaoana bila hata kujitambua Wala kutambuana huyu ni nani, Mimi ni nani, nataka mtu wa aina gani.
Tumekaririshwa na jamii tuliyoikuta kuoa na kuolewa bila kujua nini kipi cha msingi kama jukumu na wajibu wa kila mmoja, acheze nafasi yake vizuri.
Mkuu inategemea na priorities, maisha yananyoosha wote waliooa na ambao bado, ila stress ya mwanandoa isikie tu. Narudia tena, kama unajimudu oa. Ila usioe kwa kubahatisha maana kama mwanamke ni mzuri kuna nafasi hadi ya kugongwa mke. Naongea kwa experience. Hawa wanawake waliozaliwa kuanzia 1990 kuja huku juu 99% hawawezi kukuvumilia kwenye kipindi kigumu. Hakikisha unajimudu ndo uingie kwenye ndoa vinginevyo unakaribisha ibilisi kwenye ndoa yako. Nina mifano mingi na naamini na wewe unayo. Halafu kuna kitu kinashangaza, kwanini watu waliopo kwenye ndoa wanaumia na kujaribu kuwazodoa watu ambao hawajaoa na kulazimisha waoe!?,mbona ambao hatujaoa hatujawahi kuwaonea wivu waliooa, sanasana tunawaonea huruma, KWANINI!?😂Aisee, sikukatishi tamaa ila wengi wa wanaosema "hadi nifanye jambo fulani ndio naoa", hawafikii malengo yao na maisha yanaendelea kuwanyoosha tu.
Ibirisi mwenye mguu mmoja.Mkuu inategemea na priorities, maisha yananyoosha wote waliooa na ambao bado, ila stress ya mwanandoa isikie tu. Narudia tena, kama unajimudu oa. Ila usioe kwa kubahatisha maana kama mwanamke ni mzuri kuna nafasi hadi ya kugongwa mke. Naongea kwa experience. Hawa wanawake waliozaliwa kuanzia 1990 kuja huku juu 99% hawawezi kukuvumilia kwenye kipindi kigumu. Hakikisha unajimudu ndo uingie kwenye ndoa vinginevyo unakaribisha ibilisi kwenye ndoa yako. Nina mifano mingi na naamini na wewe unayo. Halafu kuna kitu kinashangaza, kwanini watu waliopo kwenye ndoa wanaumia na kujaribu kuwazodoa watu ambao hawajaoa na kulazimisha waoe!?,mbona ambao hatujaoa hatujawahi kuwaonea wivu waliooa, sanasana tunawaonea huruma, KWANINI!?😂
Tatizo vijana uoga wa kuhudumia familia umekuwa mwingiKuna msemo WA kataa ndoa ni msemo WA kioga kwa wAnaume Sababu kuu ya kataa ndoa ni.
Éti Wanawake ni wapenda hela, wajeuri hawajatulia.n.k.
Unakuta a man ni 29yrs anaogopa kuoa mwanamke mwenye elimu,pesa au mzuri kisa Eti atamsumbua
Bro kaza kiume ingia kwenye ndoa mpe mwanamke wako vigezo na masharit ya ndoa halafu stay real focus n'a maisha
Mwambie mwamke wako akupende asikupende Ila kukuheshimu ni lazima
Mwambie hakuna second chance akikucheat anarudi nyumban kwao stay strong .
tongoza mara moja kama hakutaki achan nae wanawake ni mwengi sana.
miaka 30 ni Muda WA kutafuta mtoto WA pili Mwanaume
Wacha tusubiri waje waseme waolewaji nao kwani wanatuambia nini sisi waoajiKama hujaweka mifumo stable, Ndoa itageuka ndoano. Angaikeni tu, mje kutesa malezi ya watoto.
Mwanaume bila kufikisha miaka 35 ukaoa ni kujitafutia umaskini wa kudumu. Acha uhanga, ndoa na uhanga ni vitu viwili tofauti. Ukioa bado hujafikisha miaka 30, jua utaishia kuhangaika na machangudoaKuna msemo WA kataa ndoa ni msemo WA kioga kwa wAnaume Sababu kuu ya kataa ndoa ni.
Éti Wanawake ni wapenda hela, wajeuri hawajatulia.n.k.
Unakuta a man ni 29yrs anaogopa kuoa mwanamke mwenye elimu,pesa au mzuri kisa Eti atamsumbua
Bro kaza kiume ingia kwenye ndoa mpe mwanamke wako vigezo na masharit ya ndoa halafu stay real focus n'a maisha
Mwambie mwamke wako akupende asikupende Ila kukuheshimu ni lazima
Mwambie hakuna second chance akikucheat anarudi nyumban kwao stay strong .
tongoza mara moja kama hakutaki achan nae wanawake ni mwengi sana.
miaka 30 ni Muda WA kutafuta mtoto WA pili Mwanaume
Andika hiyo Asset na Liability kwa kiswahili kwanzaTujiulize kwanza Kuoa ni Asset au liability?
Ndio tujadili Mambo mengine
Acha uongo wako umeona wap life expectancy ya tz ni 50yrs??Sorry.. unataka aoe akiwa na 35?
Tunakosea sana kuchelewa kuoa. Ni kosa kubwa. Kama mtu umefika 35+ na hajaoa wala kuolewa ni heri aachane na hiyo ndoa aendelee na Maisha yake.
Watu wengi wanapima kwa mizani ya kipato/kiuchumi wakati kuna mambo mengi ya kimsingi mfano Watoto na malezi yao.
Life expectancy ya TZ ni 50 yrs. Unaoa ukiwa na 35 ina maana mtt wako kama utapata ukiwa na 40 utamlea kwa miaka 10 tu na miaka inayobaki ni tia maji tia maji.
Unasomesha mtt kwa hela za pensheni.
Kwa huu utopolo ulioandika usifikir watakusikia hawa vijana wa ovyoTarget yangu ni Vijana WA kiume wawe strong
Kweli wewe unavuta bangiKuoa kupo kikubwa uwe na mtoto wa ujanani bas
Uliona wapi bilionea ana kaa bar anarud saa tisa usiku amelewaMi nawaza ubilionea mzee masuala ya kuleteana mtu wa kunihoji kwann umerudi saa tisa usiku sitaki kuskia, afu ubilionea inakua na Siri nyingi sitaki mtu wa kuingilia mambo yangu
Haya sawa, je upi ni ukweli..?Acha uongo wako umeona wap life expectancy ya tz ni 50yrs??
Kama umeoa na 19yrs ni wewe pambana na hali yako
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app