mdizi 2021
Member
- May 4, 2021
- 55
- 52
kweli kabisa kabisaUkiishi na mwanamke ndiyo utajua.
Mwanamke ni ngumu kuendana na kasi ya kutaka ngono na mwanaume. Mwanaume ana high libido kuliko mwanamke.
Mwanaume ana hasira atasex. Ana furaha atasex. Ana huzuni atasex. Ana mawazo atasex. Hana mawazo atasex. Amechoka atasex, hajachoka atasex.
Mwanamke yeye atasex under some circumstances tu.
Ndiyo maana walio kwenye ndoa wanaongoza kupiga puchu kuliko wasio kwenye ndoa.
Anayebisha awe anaishi na mtu pia.
Mkuu nimefatilia huu uzi comments zote moja baada ya nyingine na nilicho kiona hapa kinanipa sababu ya kukubaliana na wewe 100% kuwa wanawake wanajificha kwenye kivuli Cha wanaume kwa kila makosa wanayo yafanya.Hahah tusidanganyane hapa nimeona wanaume wenzangu wengi wamefanya unayoyasema hayo sijui mpe attention mara vikolokolo vingi nabado wanawake wao cheat.
usidhani wanaume wote hatuwaelewi wanawake tabia yenu ya kufanya makosa na kumtafuta wa kumtupia mpira eti kuchepuka tunasababishiwa hata aibu hauoni mngekua ni maroboti mnakontoriwa kweli ningeamini .
samson alimpa delila attention na mahaba yote na bado alisalitiwa na huyu naye alisababishiwa ? Photifa alikuwa anamsikiliza mkewe na kumpa attention yote ila mkewe alitakulala na yusuf huyu naye alisababishiwa ?
aisee bado sana uongo huo kawadanganye bata wenzio
Ha haaa kweli we can do bestkijana utapata tabu sana ukiendelea kukalili wanawake wanafikili tofauti na sisi tena wanawake hawa 21 centual jiandae kupata heart attack mda wowote.sijui hujawi kuwasikia wakisema "what man can do, woman can do best"
Mkuu ndio wameaminishwa hivo tangu utoto huwezi wabadili fikra zao ila dawa yao ni kufata mkondo wa sheria unasemaje pale wanapokosea ila ukisema uwape sababu ya kujitetea utaona anavyokugeuzia kibao kiainaMkuu nimefatilia huu uzi comments zote moja baada ya nyingine na nilicho kiona hapa kinanipa sababu ya kukubaliana na wewe 100% kuwa wanawake wanajificha kwenye kivuli Cha wanaume kwa kila makosa wanayo yafanya.
Tamaa za pesa
Ubinafsi wao
Kujikweza
Tamaa zao za mwili
Tabia za kuzaliwa nazo
Ushawishi wa marafiki (mashoga zao) utasikia anasema animeolewa na juma ila kiukweli hisia zangu zipo kwa shabani.
N.k
Yaani makosa yao yote wanayo yafanya wanajiweka upande salama kisha zigo lote atupiwe mwanaume eti ndio sababu (utadhani wao ni robots na rimot kashika mwanaume).
Mwanamke mpumbavu ataivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
Yaani na chura wangu wa kunesa, hips za haja, guu la bia, rangi ya chungwa, baby face nikufate piemu wewe!!! Hebu kuwa na adabu basiEbu njoo pm tuongee vzr
Wanawake saikolojia yetu inapenda sana kupewa attention, ili ujione nawe umo Basi Ni ile hali ya kutongozwa kutamaniwa machoni kwa wanaume, na hii inawazuzua sana wanawake wenye umri mdogo,, hivyo Basi km mume ndani hafanyi hizo mambo za kusherehesha mahaba(wenyewe mnasema kuwa romantic) mke akitoka nje akakonyezwa tu analowa na kuliwa fastaa,
Bado niko kitandani nina ka mood kazuri, siwezi kuruhusu ngumbaru Kama wewe ukaharibu,Umalaya tu hamna lolote
Ajenti wa shetani upo kaziniKuna ukweli hapa....Kuna wake za watu wawili muda wote wapo machoni mwangu na dalili zote za kukaribishwa! Mwanzo nilipenda, nikaona labda na mie ni 'handsome' baadae ikanitia simanzi... tatizo sijui nini!?
We wakatae tu mkuu itakusaidia kuwa safe zaidi achana na uhendisamuKuna ukweli hapa....Kuna wake za watu wawili muda wote wapo machoni mwangu na dalili zote za kukaribishwa! Mwanzo nilipenda, nikaona labda na mie ni 'handsome' baadae ikanitia simanzi... tatizo sijui nini!?
AiseeeSasa ni wanaume wangapi wanamuda wa kufanya hayo.....? Utakuta kunajanaume litakuja kukubishia haya unayo sema
Wacha nije nikushereheshe mie π ili nione kama kweliWanawake saikolojia yetu inapenda sana kupewa attention, ili ujione nawe umo Basi Ni ile hali ya kutongozwa kutamaniwa machoni kwa wanaume, na hii inawazuzua sana wanawake wenye umri mdogo,, hivyo Basi km mume ndani hafanyi hizo mambo za kusherehesha mahaba(wenyewe mnasema kuwa romantic) mke akitoka nje akakonyezwa tu analowa na kuliwa fastaa,
Bado niko kitandani nina ka mood kazuri, siwezi kuruhusu ngumbaru Kama wewe ukaharibu,
Huu ni ukweli mchungu ila wanajificha kwenye kichaka cha Care!Hamna kitu kama hiko kwamba ukimpa mkeo attention ndio hata cheat huu ni uongo ambao wanaume wengi wamepigwa wanabaki kusema hawa viumbe wanataka nini?
Jibu ni moja wanawake nao hutamani na hupenda kubadilisha wanaume bila sababu ya msingi kama sisi wanaume tufanyavyo ila hizo sababu za humridhishi mara hauko romantiki nendeni mkawadaganye wanaume wenye IQ ya kuku
What a word of power! I like to treat you nicely missez cause i dont wanna miss anything that comes from your sweetness...Kwa utulivu wako naweza amini kwamba mtu anaweza kusababishia ajali π π πMwanamke anayechepuka kwa sababu ya kubadili ladha anakuwa na hulka ya umalaya,
Tunachepuka kwa kusababishiwa, niamini ukimpa mwanamke wako attention yako uwezekano wa kucheat Ni mdogo Sana au haupo kabisa,
Umenisikia wewe mwenye IQ ya bata
Hahahaha kweli kabisa a Smart ass looking nigga pon di street! Wanawake wana trail tu ndipo nikaamini kweli wanawake sio pesa!Tatizo unafanya ngono zembe ndio yote hayo.....alafu mwanaume ukijiamin na kujipenda wala hutumii hela kuwapata hawa watu nakuambia. Kwanza mwanaume ukijielewa wanawake wataona kutembea na wewe ni kujitengenezea CV nzuri
Mwamba umetisha mzee! Kwahio timming ni kwenye vigodoro tu kmmmk ila angalizo huko ndio kuna umeme wa megawatt za juu kabisa! Usiache kutumia mipiraUkiwa na uwezo wa kumega au kumegwa fanya hivyo. Maisha yenyewe mafupi. Mie nawavizia wake za watu walewe kwenye vigodoro,baikoko,vanga,matarumbeta na ngoma nyengine za asili ili nijigongee
Indeedhamna ktu kinanikera kama kugenerelize kitu kisa watu wachache, hii tabia mkome!!!. There are good men and good women out there
Kuna dem nilikuwa nae anapenda sana kucheki x ila ukimuona huwez mdhania ni mpole kichiziπ π πKama hamjui wanawake wengi saizi wanatembea mbunye zimelowana tayari ....
Ka angalie takwimu zinazo onesha kati ya men na ke nani wanaongoza kwa kuangalia video za x ndio utaelewa , alafu njoo uangalie wanapenda kuangalia sana category gani...? Ukitoka hapo njoo tena jiuliza je wewe binafsi kwenye hiyo category upo.....?
π π π π π π ngumu kumeza hii! Tonge bila mbogaYaani na chura wangu wa kunesa, hips za haja, guu la bia, rangi ya chungwa, baby face nikufate piemu wewe!!! Hebu kuwa na adabu basi