Mwanaume ukigundua mpenzi wako ana mpenzi mwingine anayemuhudumia na wewe huna uwezo huo utamsamehe?

Si mimi.. nmetoa tu incidence ya namna hiyo.. uhalisia naomaanisha ni huo wa binti kupendana na kijana.. na si wote wanaochepuka kuwa ni malaya au kamaanisha.. si rahisi..
Mkuu huo uhusiano ukibaki basi Mungu mwenyewe ndio anajua, maana tusiombe mabaya. Yaani mwanamke achepuke kwa tamaa ya mahitaji na bado ataendelea kuwa nayo na kapata "mfadhili" unategemea ataacha? Kumbuki kijana maskini atarudi kwao.

1.0 Maskini
2.0 Yupo mbali

IMEISHA HIYO
 
Inategemea na malengo tu. Kama ni kulana tu na maisha yanaendelea sioni shida. Maana sioni tofauti sana ya hicho unachokisema na kuwa na mahusiano na make wa mtu.

Ila kama kuna malengo makubwa zaidi kama kuoana, hayo ni matusi makubwa tu kwa mwanaume.
 
Wakuu habari,

Imetokea wewe kijana wa kiume una mpenzi ambae anafanya kazi mkoa tofauti na uliopo wewe yupo na mahusiano na mtu mwingine aliekaribu nae utamsamehe?

Ni hivi, kijana hana uwezo kiivo kuweza kutimiza mahitaji ya binti, binti anakua na mahusiano mengine ambayo anatimiziwa kila kitu na huyo jamaa yake na siku kadhaa wamekua wakitembeleana wapatapo nafasi.

Sasa kijana wa kiume anagundua kuwa mpenzi wake ana mpenzi mwingine though mnapendana sana.. na ukijiangalia wewe wa kiume huna uwezo..

Je utafunika kombe mwanaharam apite? Au utamuacha binti?
Mkuu mbona kama umeniongelea situation yangu ya sasa,
 
Mkuu huo uhusiano ukibaki basi Mungu mwenyewe ndio anajua, maana tusiombe mabaya. Yaani mwanamke achepuke kwa tamaa ya mahitaji na bado ataendelea kuwa nayo na kapata "mfadhili" unategemea ataacha? Kumbuki kijana maskini atarudi kwao.

1.0 Maskini
2.0 Yupo mbali

IMEISHA HIYO
Nakubali mkuu, ni changamoto
 
Ukitaka kushindana na mwanaume utaumia au kuzeekea kwenu.
Mwanaume ni kiumbe kingine, we lete ujuaji tu, na uzee unakunyemelea, mwanaume akizeeka ndio anavutia wanaume zaidi hasa skiwa na mshiko.
Wewe ziwa likilala ksma ndala kwisha habari yako.
Mie nshindane na mwanaume izo nguvu natolea wapi?🤷‍♀️😂

KENZY Eti nmezeekea kwetu na mjuaji?😂
 
Cha umuhimu ni kuangalia malengo yako kwenye mahusiano hayo..
Kama malengo yalikuwa ni kuoa basi hapo ni kuacha tu..
Na kama malengo ni kupita juu juu bas hapo unabaki tu..
Ila tujikumbushe kuwa zinaa ni haramu
 
Back
Top Bottom