Mwanaume ukigundua mpenzi wako ana mpenzi mwingine anayemuhudumia na wewe huna uwezo huo utamsamehe?

Wakuu habari,

Ni hivi, kijana hana uwezo kiivo kuweza kutimiza mahitaji ya binti, binti anakua na mahusiano mengine ambayo anatimiziwa kila kitu na huyo jamaa yake na siku kadhaa wamekua wakitembeleana wapatapo nafasi.

Je utafunika kombe mwanaharam apite? Au utamuacha binti?
Japo maisha siyo kutesa kila siku ila pesa ndiyo kila kitu...
 
Wakuu habari,

Imetokea wewe kijana wa kiume una mpenzi ambae anafanya kazi mkoa tofauti na uliopo wewe yupo na mahusiano na mtu mwingine aliekaribu nae utamsamehe?

Ni hivi, kijana hana uwezo kiivo kuweza kutimiza mahitaji ya binti, binti anakua na mahusiano mengine ambayo anatimiziwa kila kitu na huyo jamaa yake na siku kadhaa wamekua wakitembeleana wapatapo nafasi.

Sasa kijana wa kiume anagundua kuwa mpenzi wake ana mpenzi mwingine though mnapendana sana.. na ukijiangalia wewe wa kiume huna uwezo.

Je utafunika kombe mwanaharam apite? Au utamuacha binti?
Mungu hakuwahi kuumba mtu asiye na uwezo kabisa wa kuishi bali ni tamaa na uzembe wa vijana wa leo.
 
Wakuu habari,

Imetokea wewe kijana wa kiume una mpenzi ambae anafanya kazi mkoa tofauti na uliopo wewe yupo na mahusiano na mtu mwingine aliekaribu nae utamsamehe?

Ni hivi, kijana hana uwezo kiivo kuweza kutimiza mahitaji ya binti, binti anakua na mahusiano mengine ambayo anatimiziwa kila kitu na huyo jamaa yake na siku kadhaa wamekua wakitembeleana wapatapo nafasi.

Sasa kijana wa kiume anagundua kuwa mpenzi wake ana mpenzi mwingine though mnapendana sana.. na ukijiangalia wewe wa kiume huna uwezo.

Je utafunika kombe mwanaharam apite? Au utamuacha binti?
Kama noma na iwe noma....nauchuna af naanza kula kinyonge mzee ....
 
Kama mna mkataba wa hayo mahusiano basi mwanasheria atahusika ila kama mmebambikiana tu mtajijua
 
Boss!! kwani huna pride ata ndogo ya kuilinda.
Why should you fighting a losing battle
Pita kushoto mzee, tafuta wa level yako.
 
kijana wa kiume una mpenzi ambae anafanya kazi mkoa tofauti na uliopo wewe yupo na mahusiano na mtu mwingine aliekaribu nae utamsamehe?
Mwanamke msaliti mdangaji haupaswi kuendeleza naye mahusiano!

kijana hana uwezo kiivo kuweza kutimiza mahitaji ya binti
Huyo binti kama hana uwezo wa kukidhi mahitaji yake mwenyewe ana fanya kazi ili iweje??

Kama mshahara haumtoshi kwanini asihishi kulingana na kipato chake??

Tamaa za kutaka mambo makubwa zinawafanya wawe wadanganji..!

Hana mapenzi yoyote kwa huyo kijana , ni mdangaji tu malaya kama malaya wengine..ambao wako tayari kutumia mwili wao kukidhi tamaa zao zakutaka makubwa...
 
ahudumiwe kwani ni kilema kwamba hwezi kufanya kazi?? tunatoa za vitu vidogo tu huyo hafai piga chini kabda jogoo hajawika.
Mtu kasafirir mpaka mkoa mwingine kwenda kufanaya kazi...eti anataka ahufumiwe na jamaa aliyempata huko kisa huyu wa kwake hana uwezo..?
Hiki nikisababu tu cha huyo malaya kufanya udangaji wake..

Sasa kazi anafanya ya nini kama anataka kuhufumiwa? Kama sio tamaa zakutaka kuishi maisha ambayo sio yake
 
Back
Top Bottom