Mwanaume ukigundua mpenzi wako ana mpenzi mwingine anayemuhudumia na wewe huna uwezo huo utamsamehe?

Inategemea mimi ni mtu wa wapi, kama ni wa Tarime basi ujue huyo binti anachezea mapanga, kama mimi ni wa Arusha basi ujue nitampiga risasi, kama mimi ni wa Tanga basi nitakwenda kumroga aachane kabisa na huyo jamaa amuone kama kinyesi ili tuendelee....na kama mimi ni wa Zanzibar basi nitasoma Alalbadir kwa kila anaetembea na mpenzi wangu afe
 
Wakuu habari,

Imetokea wewe kijana wa kiume una mpenzi ambae anafanya kazi mkoa tofauti na uliopo wewe yupo na mahusiano na mtu mwingine aliekaribu nae utamsamehe?

Ni hivi, kijana hana uwezo kiivo kuweza kutimiza mahitaji ya binti, binti anakua na mahusiano mengine ambayo anatimiziwa kila kitu na huyo jamaa yake na siku kadhaa wamekua wakitembeleana wapatapo nafasi.

Sasa kijana wa kiume anagundua kuwa mpenzi wake ana mpenzi mwingine though mnapendana sana.. na ukijiangalia wewe wa kiume huna uwezo.

Je utafunika kombe mwanaharam apite? Au utamuacha binti?
Kwenye kosa la mwanamke no msamaha
 
Huyo jamaa kama kathibitisha kua manzi ana jamaa anamhudumia basi jambo jema ni kuachana nae tu( kama ana malengo ya ndoa, ila kama ndo kam wenzangu na mimi wa mbususu freshi tu unapiga kisela).

Hakuna uaminifu hapo, kama ndo mke basi hamna mke hapo.

Hii kitu mi ishantokea ila unaangalia uyo mwanamke kwako wamuonaje mke/mpenzi tuwa kupita/mnapasha kiporo au niaje.

Na kama mwanaume huna uwezo wa kumtunza demu wako na akakuacha kwa sababu hiyo basi usimlaumu labda awe mkeo coz mlikua na viapo ,kwakua hakuna apendae maisha magumu na akikuvumilia basi muheshimu sana.
 
Nimekuelewa sana.

Huwezi kusamehewa kwani uaminifu ni maaagano ya mapenzi jambo la kwanza na sio huo uchuuzi.

Uaminifu ukikosekana ni sawa na chakula kisicho na chumvi.

Shida ya mabinti hamna uvumilivu, mnataka kuishi maisha yasiyo yenu.

Kuna mda unaongeaga point sana
 
Kuna mda unaongeaga point sana
Point na ujinga vimeachana uzi mdogo sana, ukikosea point unatoa ujinga...
Haha naweza kusema point na ujinga ni ndugu wa damu.
Kuna wakati nafanya ujinga pia.
Hujambo ndg yangu?
 
Ndio tena kiloho safi.ishu mimi ndo nahudumia afu kuna fala asiye na mbele wala nyuma anapita
 
Back
Top Bottom