Mwanaume rijali ni yupi?

Mwanaume rijali ni yupi?

Dah.....mwanaume anahitaji vitu viwili tu.....Pesa na nguvu za "misuli"..... vingine ni siasa tu
 
1. Uwe RIJALI na MMILIKI (hili halihitaji ufafanuzi) Ukishakuwa rijali unapaswa uwe na UMILIKI. Umiliki wa mwanaume rijali ni umiliki wa MWANAMKE/WANAWAKE. Iwe rasmi au vinginevyo. (Umiliki wa watoto pia ni muhimu japokuwa hili lategemea zaidi mapenzi ya Mungu). Ikumbukwe kuwa Mwanamke ni MALI ya mwanaume lakini watoto ni mali ya Mwanamke na Mwanamme.

[HASHTAG]#asprin[/HASHTAG]
 
Ingefaa uzi huu useme mwanaume jasiri, Mwanaume rijali ni kiwanda cha kuzalisha watoto baasi hayo mengine labda yaangukie kwa akina gentomen siyo urijalini.
 
Nimekunukuu bara bara mkuu, maana ya maana anayo mzungumzaji siyo msikilizaji. Kifupi kama niko pamoja na wewe ni kuwa "urijali" bila ya kuwajibika ni hakuna maana.
Sawa kabisa big up
 
Sifa za mwanaume rijali.

1. Kuwa msafi 24 hours

2. Hupenda kutreat wanawake kimapenzi vyema.

3. Kuvaa hereni, kutoboa pua, kuvaa cheni kifuani , mguuni

4. Hanywi pombe ila anavuta cigar

5. Awe na pesa ya kutosha na utajiri halali.

6. Akiwa kwenye " social media " I'd zake huwa za kike, mfano I'd yangu hapo....



Huyo atakuwa Rijali wa china
 
Naona unajaribu kuunda vijisababu ila maana ya mwanaume rijali ni yule mwenye uwezo wa kutungisha mimba, period.
 
Huo sio urijali unaweka mimba nani akulelee hao wenye mimba wanaume marijali ni wale wenye kukubali hali halisi ya maisha nakupigana nayo mwanaumr rijali ni yule ambaye muda mwingi hawazi mapenzi anawaza hela atapataje watoto wasome shule nzuri nakupata maisha mazuri.
Mwanaume rijali ni yule ambaye hupenda kuwa busy akifight kimaisha sio yupo busy kuwajaza watu mimba wasio na mpangilio
Katika life huyo sio mwanaume rijali.
Mwanaume rijali humkuti anahistoria yakujaza jaza mimba watu.
Yeye yupo busy kutafuta life.

Mwanaume akishajaza mimba ni Rijali by default. hzo zingine sijui tuite sifa za mwanaume halisi au jina lingine
 
Mwanaume rijali ni EX wako...

Hangover hizi zitaniponza
 
Tanua ubongo kijana....ndo mana nimekwambia "rijali" ni concept pana sana.....sio kudindisha peke yake....bali ni vitu vingi sana....vp kama unadindisha lkn mbegu zako hazina nguvu ya kuovulate mtoto kwa mama??? Ni rijali??

Mkuu kama unadindisha ila huwez kumpa demu mimba wew sio Rijali.
 
Bongo mwanaume akianza kusuka, kuvaa hereni huyo ni shoga by default. then sasa ataanza ku-prove wrong ila lazima kila anaemuuliza aanzie kwenye shoga
Kuna jamaa mmoja kitaani alikuwa anasuka nywele, ila ni mgeni halafu kapanda hewani ( mrefu kama hasheem thabit ) ana mwili kwa mtazamo wangu nikajua anacheza basketball hivyo sikuwa na shaka naye ila mademu mtaani wakawa wanamuita shoga, jamaa ikabidi ikabidi aanze kuwanyoosha wale mademu waliyemuita shoga mpaka Leo anasumbua kitaani.
 
Back
Top Bottom