goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,151
We babu marasta mungu anakuona ujue....Unashindwa kutofautisha urijali na ushoga mkuu
Sasa kutoboa pua kama tupac na kuvaa kikuu mguuni kama Chris brown na kuvaa cheni kiunoni kama Young thug kuvaa cheni kifuani kama diamond , kutoboa masikioni kama hemed PhD ni dalili za ushoga hebu muogope mungu basi kwa maneno yako.
Basi kusuka rasta kama babu marasta ni ushoga pia.

