Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Mleta mada naona kama kaniongelea mimi vileHahahaaaa. Hatari.
Sikuwahi kuwaza kama neno Rijali linaweza kuwa maana pana kiasi hiki, haya bwana nadhani kwa kila mwanaume atakayepita atajiona ana upungufu wa Urijali kwa kiasi gani hivyo kama mbadilikaji abadilike
Pia povu nalo ulitegemeee Katoto Kazuri


