Hahahahaaa aisee.....hulijali sio maumbile kijana....hata maguy kibao mjini mbona wanamaumbile lkn sio ridhiki....urijali ni concept pana kama dada etu alivojaribu kudadavua pale juuRijali ni kwenye maumbile na swala zima la kudindisha ww umeongelea mwanaume mwenye msimamo.
Jandoni nilifunzwa kwamba mwanaume rijali ni yule anaedindisha akamridhisha mwanamke na anao uwezo wa kumsababishia mwanamke kushika mimbaHahaaa. Kwa upande wako imekaaje rafiki?
Hahahahaaa aisee.....hulijali sio maumbile kijana....hata maguy kibao mjini mbona wanamaumbile lkn sio ridhiki....urijali ni concept pana kama dada etu alivojaribu kudadavua pale juu
Hahahaa. Ndio sababu nilipoandika nikasema kumbe rijali ni neno pana.Jandoni nilifunzwa kwamba mwanaume rijali ni yule anaedindisha akamridhisha mwanamke na anao uwezo wa kumsababishia mwanamke kushika mimba
Tanua ubongo kijana....ndo mana nimekwambia "rijali" ni concept pana sana.....sio kudindisha peke yake....bali ni vitu vingi sana....vp kama unadindisha lkn mbegu zako hazina nguvu ya kuovulate mtoto kwa mama??? Ni rijali??Acha kujidanganya ww yaani kama hudindishi hata ufanye mangapi wewe sio rijali
Huyo unaemzungumzia ni mwanaume rijali kweli ama mwanamke mwenye haiba ya kike!?Sifa za mwanaume rijali.
1. Kuwa msafi 24 hours
2. Hupenda kutreat wanawake kimapenzi vyema.
3. Kuvaa hereni, kutoboa pua, kuvaa cheni kifuani , mguuni
4. Hanywi pombe ila anavuta cigar
5. Awe na pesa ya kutosha na utajiri halali.
6. Akiwa kwenye " social media " I'd zake huwa za kike, mfano I'd yangu hapo....
![]()
![]()
Nimejipanga sana ndio maana nimeandikaHahahaaaa. Hatari.
Sikuwahi kuwaza kama neno Rijali linaweza kuwa maana pana kiasi hiki, haya bwana nadhani kwa kila mwanaume atakayepita atajiona ana upungufu wa Urijali kwa kiasi gani hivyo kama mbadilikaji abadilike
Pia povu nalo ulitegemeee Katoto Kazuri
Hahaaa. Ya kweli hayo Mshenga?mwanaume pesa mzeeee.
Ni kweliKuwa na mademu wengi siyo kipimo cha urijali, kama we rijali wa kweli home wapate ugari
By Nikki wa Pili.
Neno Rijali lina maana nyingi sana.
Huo sio urijali unaweka mimba nani akulelee hao wenye mimba wanaume marijali ni wale wenye kukubali hali halisi ya maisha nakupigana nayo mwanaumr rijali ni yule ambaye muda mwingi hawazi mapenzi anawaza hela atapataje watoto wasome shule nzuri nakupata maisha mazuri.Mbona urijali wenyewe hujautaja??
Mwanaume rijali ni lazima awe na nguvu za kiume za kutosha, awe na uume imara na wenye umbo la kutosha, akojoze wanawake na kuwatia mimba!!!
Akiwa na mambo yote uliyoyataja lakini mboro haisimami au hana uwezo wa kukojoza wanawake huyo sio rijali
Hahaaa. Ya kweli hayo Mshenga?
Aisee
Huyo unaemzungumzia ni mwanaume rijali kweli ama mwanamke mwenye haiba ya kike!?
Anamkee na watoto note hio sio mikatiba yako na stress zako akiliniMtoa mada nadhani umeanduka ukiwa na stress. Sasa urijali na hayo maendelo wapi na wapi? Urijali uwezo wa kujamiiana na kuzalisha. Mtu aweza fanya yote uliyoonyeshapo juu hata kama hana mtoto yaani hawezi kuzaa na wala hana mke anaweza kujali ndg zake akaoambana na maisha kwa nidhamu kuu.
Msituchoshe kuandika vitu msivyovijua
Asante mkuuHahahahaaa aisee.....hulijali sio maumbile kijana....hata maguy kibao mjini mbona wanamaumbile lkn sio ridhiki....urijali ni concept pana kama dada etu alivojaribu kudadavua pale juu
Hahahaa. Najua Mshenga ila kwa upande wa pili pesa pekee hailibebi neno rijali likakamilika sababu wanaume mnatakiwa muwe na mengi ili kukamilisha huo urijali Mshenga.hahahah.
mwali mbona hata we unajua.
kwani utakubali hayo yote alafu mfukoni 0%???
sifa ya pekee ambayo mwanaume hupata dharau anapo ikosa pesa mfukoni alafu eti no msafi, sjui mtanashati, sjui sharobaro huo ni uvulana sio uanaume.
au mwali nakosea?
Hahahahah kweli, kina himed phd haohahahahhah
atakua ni mwanaume mwenye haiba ya kike
Unashindwa kutofautisha urijali na ushoga mkuuSifa za mwanaume rijali.
1. Kuwa msafi 24 hours
2. Hupenda kutreat wanawake kimapenzi vyema.
3. Kuvaa hereni, kutoboa pua, kuvaa cheni kifuani , mguuni
4. Hanywi pombe ila anavuta cigar
5. Awe na pesa ya kutosha na utajiri halali.
6. Akiwa kwenye " social media " I'd zake huwa za kike, mfano I'd yangu hapo....
![]()
![]()
We babu marasta mungu anakuona ujue....Unashindwa kutofautisha urijali na ushoga mkuu
