cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 499
pesa sabuni ya roho!
pesa ni maua!
nani kasema pesa haiwezi kununua furaha!
mwenye pesa si mwenzio,
mwanaume mwenye pesa hata awe vipi warembo watamfanya ajisikie kama mfalme!
mwanaume mwenye pesa zake atajipatia wanawake wenye uzuri na urembo wa kila namna na kila rika!
eti kina dada kwa nini kupenda pesa kunatufanya tuwe zaidi ya vipofu maana kipofu haoni lkn anahisi!
kina dada tuache kuwa na mioyo yenye kudhamini fedha na mali tu kwani hata sisi tuna uwezo wakujitafutia fedha zetu bila kutegemea mabuzi!!
mwanaume ni - - - - - - -!!!
eti kina dada kwa nini kupenda pesa kunatufanya tuwe zaidi ya vipofu maana kipofu haoni lkn anahisi! kina dada tuache kuwa na mioyo yenye kudhamini fedha na mali tu kwani hata sisi tuna uwezo wakujitafutia fedha zetu bila kutegemea mabuzi!! mwanaume ni - - - - - - -!!!
pesa sabuni ya roho!
pesa ni maua!
nani kasema pesa haiwezi kununua furaha!
mwenye pesa si mwenzio,
mwanaume mwenye pesa hata awe vipi warembo watamfanya ajisikie kama mfalme!
mwanaume mwenye pesa zake atajipatia wanawake wenye uzuri na urembo wa kila namna na kila rika!
eti kina dada kwa nini kupenda pesa kunatufanya tuwe zaidi ya vipofu maana kipofu haoni lkn anahisi!
kina dada tuache kuwa na mioyo yenye kudhamini fedha na mali tu kwani hata sisi tuna uwezo wakujitafutia fedha zetu bila kutegemea mabuzi!!
mwanaume ni - - - - - - -!!![/QUOTE]
cheusi utakunywa nini leo?.....bili juu yangu
ni kweli wote twapenda fedha,hata mie napenda fedha ndio maana nahangaika kila siku kuzitafuta lkn kuna wanaozipenda lkn wanafikiri njia pekee yakujipatia hizo fedha ni kutoka kwa kina baba tu,sasa hawa ndio niliowalenga hapa,hawa ninaowalenga wao hawajali chochote na wako tayari kufanya chochote na mwanaume wa aina yeyote mradi tu wajue ana pesa,kwao mapenzi ya kweli hayana nafasi,na mwanaume asiye na fedha wao humuona wa nini na wa kazi gani!We da Cheu, siyo akina dada tu, kila mtu anapenda pesa. Ulishakutana na wataalamu wa bahasha za brown? Ukifika muda wa kupokea kila mtu anakuwa kama ana hysteria, yaani meno yote 32 nje nje!!
Hata hivyo, kwani kuna mtu anapenda kuumwa na chawa au kunguni? Basi dawa ya hao wadudu ni pesa!!
pesa sabuni ya roho!
pesa ni maua!
nani kasema pesa haiwezi kununua furaha!
mwenye pesa si mwenzio,
mwanaume mwenye pesa hata awe vipi warembo watamfanya ajisikie kama mfalme!
mwanaume mwenye pesa zake atajipatia wanawake wenye uzuri na urembo wa kila namna na kila rika!
eti kina dada kwa nini kupenda pesa kunatufanya tuwe zaidi ya vipofu maana kipofu haoni lkn anahisi!
kina dada tuache kuwa na mioyo yenye kudhamini fedha na mali tu kwani hata sisi tuna uwezo wakujitafutia fedha zetu bila kutegemea mabuzi!!
mwanaume ni - - - - - - -!!![/QUOTE]
cheusi utakunywa nini leo?.....bili juu yangu
kitochi cha mbege kinatosha!
pesa sabuni ya roho!
pesa ni maua!
nani kasema pesa haiwezi kununua furaha!
mwenye pesa si mwenzio,
mwanaume mwenye pesa hata awe vipi warembo watamfanya ajisikie kama mfalme!
mwanaume mwenye pesa zake atajipatia wanawake wenye uzuri na urembo wa kila namna na kila rika!
eti kina dada kwa nini kupenda pesa kunatufanya tuwe zaidi ya vipofu maana kipofu haoni lkn anahisi!
kina dada tuache kuwa na mioyo yenye kudhamini fedha na mali tu kwani hata sisi tuna uwezo wakujitafutia fedha zetu bila kutegemea mabuzi!!
mwanaume ni asset!!![/QUOTE]
huyo mkipisha barabarani utageuka kweli??
Mwanamume pesa eeh Hata kama mtarimbo umelala doro?
ni kweli wote twapenda fedha,hata mie napenda fedha ndio maana nahangaika kila siku kuzitafuta lkn kuna wanaozipenda lkn wanafikiri njia pekee yakujipatia hizo fedha ni kutoka kwa kina baba tu,sasa hawa ndio niliowalenga hapa,hawa ninaowalenga wao hawajali chochote na wako tayari kufanya chochote na mwanaume wa aina yeyote mradi tu wajue ana pesa,kwao mapenzi ya kweli hayana nafasi,na mwanaume asiye na fedha wao humuona wa nini na wa kazi gani!
kwao mwanaume mwenye dhamni ni yule mwenye fedha!!!
hihihiiii!
hivi ukilala doro unakuwaje!?
nadhani ndio maana wanaume wamegundia something called Viagra... au na hiyo kitu imefail?Mwanamume pesa eeh Hata kama mtarimbo umelala doro?
napingana na wewe,sorry bro!Inategemea kiwango chako cha ujasiriamali na opportunity nyingine ulizonazo. Kama nafasi nyingine zimekugoma, watu wengine wanaona hakuna haja ya kuukalia uchumi wakati demand ipo. Nadhani ni kanuni tu za biashara (supply and demand)!
hihihiiii!
hivi ukilala doro unakuwaje!?