Mwanaume nimpendezeshe mimi, mwingine aje anipore, thubutuuuuuuu!

Kwani wanaolelewa hawaishi pamoja? Kuna jamaa mwezi january alifumaniwa na wanawake 2, mmoja amemhonga gari na anahudumia akijua yuko pekee, anajulikana kwao na anatumaini ataenda kutoa mahari wafunge ndoa....
Mwingine amempangia nyumba na anaprovide nae halkadhalika wamepanga mipango chungu nzima ya mbeleni....

Unadhani hakuna mipango ya mbeleni kwa hawa wanawake? Unadhani hawa wanawake wasingehonga yangewakuta haya? Si ndo mwanzo wa presha na kutaka kumu-izraeli kaka wa watu?

Sometime watu wanapoacha nature kuchukua mkondo wake wanaishia kujuta kama hao wanawake....

Hujaelewa mada ndugu. Issue sio kumlea au la, suala ni jinsi mlivyoishi pamoja na mwenza wako mkapanga mambo maisha yakawa poa, then ghafla mtu anaingilia na kuharibu mambo. Umeifikiria thread hii kwa level ya chini sana. Wanaoibiwa wapenzi ni pamoja na walio kwenye ndoa ndugu!
 
Back
Top Bottom