mwanaume nileyezaa nae haeleweki

amaizing

JF-Expert Member
May 3, 2013
3,616
12,369
nilikuwa na mpenz tuliyedumu miaka sita,bahat nzur nlpata ujauzito na nikazaa salama,isue inakuja baada ya kuzaa nilifaham kuwa jamaa kuna mwanamke kamzalsha pia na watoto wetu wamepishana miez 2.niliamua kuachana nae na sasa mtoto anamiaka mitatu na hajawah kumhudumia,cha ajab mwanamke wake anani2kana sana na huyo mwanaume anatangaza kuwa me namuomba ma2miz ya mtoto while iz not true.plz nisaidien niwajb nn hawa wa2 coz kla cku ni msg za matuc.blecings.
 
amazing una boy friend?
Kama huna waweza kutafuta mtu yeyote mwanaume mliye karibu nae,alafu kwa kutumia simu yako,mpigie huyo jamaa na kisha mpigie na huyo demu wake awaambie wakuache ule raha na akupendae!hawatakupigia simu tena?
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • uploadfromtaptalk1369765487816.jpg
    uploadfromtaptalk1369765487816.jpg
    35.2 KB · Views: 157
Wapotezee haooo......mjini hapa wengine ugomvi kwao mtaji.Wao ndo wakwanza kukimbilia polisi nakushtak wametukanwa na kudhalilishwa ili walipwe.
Mtoto wako ndo ndugu yako......yeye kazi yake kumwaga kojo lake.
Ila ndo tujifunzege na sisi.
 
Back
Top Bottom