mwanaume nileyezaa nae haeleweki

mwanaume nileyezaa nae haeleweki

He is a mosquito in your mosquito net.

Si kila mwanamme anafaa kukuzalisha, akili kumkichwa
 
IGNORE THEM!!!!!!! Some people are worth neither your efforts nor your time!

HATA KAMA AKILI NI NYWELE ILA SIO ZA KWAPANI!!!!!!!!

Lol.

Ushauri wangu aende mahakamani akadai child support..usicheze naye huyo mwanaume, mwambie hapa ama zake ama zako lkn hela atoe.
 
Nenda kamshitaki na ikibidi alazimishwe kumtunza huyo mtoto. Usikubali kuingia gharama peke yako make sure anamtunza mwanae. Watu wa namna hiyo ndio dawa yao.
 
nilikuwa na mpenz tuliyedumu miaka sita,bahat nzur nlpata ujauzito na nikazaa salama,isue inakuja baada ya kuzaa nilifaham kuwa jamaa kuna mwanamke kamzalsha pia na watoto wetu wamepishana miez 2.niliamua kuachana nae na sasa mtoto anamiaka mitatu na hajawah kumhudumia,cha ajab mwanamke wake anani2kana sana na huyo mwanaume anatangaza kuwa me namuomba ma2miz ya mtoto while iz not true.plz nisaidien niwajb nn hawa wa2 coz kla cku ni msg za matuc.blecings.

Suala la kutukana mtu ni utovu wa nidhamu haijalishi unatukana kwa sababu ipi,Anayetukanwa ana haki ya kushitaki,..Wewe nenda kawashitaki hao watu wanaokutukana maana wana kudhalilisha.

Na wewe kwa nini ulimwacha huyo mwanaume uliyezaa nae bila makubaliano ya namna gani mtoto alelewe?Suala la kulea ni jukumu la wazazi wote wawili,na ni wajibu wake kutoa hela za kulea huyo mtoto hata kama nyinyi wazazi mmetofautiana ktk mahusiano yenu..Ila kwa vile ww hupendi msaidiane kulea huyo mtoto kwa sababu zako binafsi basi endelea kumlea ila baadae usianze kudai fidia.
Pesa ni pesa,kama mwanaume anakubali kutoa pesa {na lazima akubali bcoz ni jukumu lake} na wewe hutaki kutumia pesa zake basi hata ungefungua A/C umpe huyo uliyezaa nae awe anaweka pesa humo na hiyo A/C UISAHAU KABISA,usitoe hata hela kidogo,kwa vile unahasira.Hasira zitakapopungua na mtoto akiwa mkubwa basi umpe hiyo account imsaidie kwa mambo yake.
 
Ungemuambia huyo dada ofcoz ni kweli jamaa anakupa matumizi kila mwezi na anakuja kumuona mtoto almost daily. Na umuambie he is a good dad na yeye atulie atafaidi matunda. Yaani mrushe roho afu uwaache wakagombane wenyewe huko ubaki unacheka. Tena muambie jamaa anataka sana mfunge ndo ila wewe ndo unamyeyusha. Sungura akishakunywa maji lazma atibue kisima, washughulishe. Siku hizi mtu akitaka kukupandisha presha wewe mpaishe roho kabisa muongezee na renal failure!
 
Kamshtaki ustawi wa jamii...
Nenda police unatukanwa...
Change line..
Tafuta wataalam wamkurupushie matusi nayeye..
Do SOMETHING..Gosh.. Amekuzalisha,hampendi mtoto wala wewe(hawatunzi)!,anakutukana..aisee hii dunia ameachiwa urithi na bibi ake?ama?!
Wewe unakaa kimya eti ufanyeje.. C'mon mamito...
Ukifika umri flani unakuwa umeathirika kisaikolojia kiasi gani?!
Unakaa like evrythin is normal..despite matusi..jus think of the baby!! Upate hasira za ku-do something.
Duh nchi nyingine mbona ungekuwa tajiri kwa hiyo kesi!
Ila no,haijalishi bana,em AMKA..DO SOMETHING.. for ur baby,darling...
 
Dada pole. busara yako tu ndo itakayokuponya. unajua mahusiano hayana kanuni. ushauri wa watu kwenye jambo hili utazidi kukuchefua. tulia na tuliza hasira mwishowe utaweza kulihimili.
 
nilikuwa na mpenz tuliyedumu miaka sita,bahat nzur nlpata ujauzito na nikazaa salama,isue inakuja baada ya kuzaa nilifaham kuwa jamaa kuna mwanamke kamzalsha pia na watoto wetu wamepishana miez 2.niliamua kuachana nae na sasa mtoto anamiaka mitatu na hajawah kumhudumia,cha ajab mwanamke wake anani2kana sana na huyo mwanaume anatangaza kuwa me namuomba ma2miz ya mtoto while iz not true.plz nisaidien niwajb nn hawa wa2 coz kla cku ni msg za matuc.blecings.


Tatizo hapo si huyo mwanamke ila nahisi huyo jamaa yako anakuwa anamdanganya huyo mama juu yako na ndiyo maana anakutukana. Jaribu kuongea vizuri na huyo mama mtakuta tu mnazungushwa na kutumiwa.
 
nilikuwa na mpenz tuliyedumu miaka sita,bahat nzur nlpata ujauzito na nikazaa salama,isue inakuja baada ya kuzaa nilifaham kuwa jamaa kuna mwanamke kamzalsha pia na watoto wetu wamepishana miez 2.niliamua kuachana nae na sasa mtoto anamiaka mitatu na hajawah kumhudumia,cha ajab mwanamke wake anani2kana sana na huyo mwanaume anatangaza kuwa me namuomba ma2miz ya mtoto while iz not true.plz nisaidien niwajb nn hawa wa2 coz kla cku ni msg za matuc.blecings.

Kukuzalisha

Hii ni nadra.. Siku hizi kaka/baba zetu anakutamkia kabisa… Hasa hawa ambao hawataki ku commit na kuoa. Ma senior bachelors. Inafika wakati anajua kabisa mke sitaki, but nataka niwe na mtoto so the shortcut anatafuta mwanamke mwenye mwelekeo wa kuwa mama mzuri, tena kwa kiasi kikubwa awe anajiweza kuweza kulea mtoto na anakushawishi ubebe mimba. Pengine hata kwa uongo wa nitakuoa. Thou hii ni wachache sana

quote: AshaDii
 
Ukimimbizana na chizi utageuka chizi......... Achana nao.

Kama huwezi kawashtaki matusi si unayo? I hope ni sms za matusi?
 
Mchoree movie kali unamwambia unahitaji kumuona unamtafuta jamaa swahiba wako unaenda nae mtu ambaye ametulia yupo vizuri, usafiri mkali hata wa kuazima, anapiga unyunyu na kuvaa decent ki gentleman, unamwambia appointment kwenye hotel kali na wewe unapendeza vilivyo siku hiyo hadi anakusahau halafu huyu mshikaji anafunguka anamwambia bwana naomba utuache na gf wangu usimsumbue maana sometimes unapiga simu usiku tumelala na mambo kadha wa kadha. Unahakikisha jamaa akiondoka hapo anaenda kulia huko kwao/kwake halafu inakuwa mwisho wake kukutafuta.
 
Kubadili line hakusaidii coz baba mtoto anaweza kubadilika kitabia na kutaka kumuona mtoto.

Kunasaidia na kama atakuwa na nia ya mtoto atampata tu kwani unapokuwa na mrembo wako mpaka umezaa nae maana yake kuna watu wengine ambao wanamzunguuka unafahamiana nao hivyo hata kama mtapotezana but lazima utakutana na watu by chance ambao wapo karibu na huyo mwanamke, watu walitelekezwa na wazazi wao miaka ya 80 wengine 70 na kulikuwa hakuna simu wala internet na waliwapata watoto wao
 
Back
Top Bottom