Mwanaume ni sawa na Mwanawake.

Mwanaume ni sawa na Mwanawake.

'equality does not mean we are the same, also does not entail treating women as men or vice versa....... It means respecting each other as humans, inspite of and because of our basic differences!!!!!
Equality means that we are cherish and value the things that differentiate us as men and women' BAAAAASI!!!!!!! Mengine ni porojo tu!!!

Yani ungekua hujaolewa ungekua mai waifu!! Unajutambua...
 
Ni kweli wote tupo sawa just biological differences tu...mbona iko wazi hii?? Nilisoma abroad injiniaring,field ngumu kabisa top scorer wote walikuwa wadada!! Wametuzidi vingi tu, na wana IQ kubwa kuliko sie...na kuna msemo umezagaa siku ingawa siupendi lakini yabidi kuumeza tu..."Wanaume Suruali"

We ni wa kike?? Si kila ni kilaza kama wewe...na wamekuzidi wewe sio sisi!! Hata mungu alisema kuna tofaut kubwa kati ya me na ke!!
 
We ni wa kike?? Si kila ni kilaza kama wewe...na wamekuzidi wewe sio sisi!! Hata mungu alisema kuna tofaut kubwa kati ya me na ke!!

Huitaji kunijibu mimi...stick kwenye hoja rather than asking me, or kusema kuna tofauti kubwa without any evidence or script from the bible....jitambue kenge maji wewe
 
Ni kweli NN lakini kuna hichi kipengele Nadhani kitakuwa kinahusisha mambo ya IQ na development
Mimi ninadhani wanawake na wanaume wanacompliment one another to make something whole.
sisi kama wanaume tuna udhaifu wetu na nguvu [not muscle power] na kina mama nao hali kadhalika ila pale ambapo sisi tuna madhaifu basi wao ndiyo wana nguvu zaidi na pale ambapo wanawake wanaudhaifu napo sisi ndiyo balancing factor hivyo ukiunganisha vyote hivyo ndiy vinavyofanya mambo yaende. Ingawa mwisho wa siku ni dereva ndiye anayesifiwa kwa kuendesha gari lakini tukasahau kuwa fundi mekanika uhodari wake wa kurepea gari ndiyo unaomfanya dereva aweze kuliendesha gari hilo kwa mbwembwe na akasifika kuwa dereva mwenye uweledi
 
Wana JF..
Jana kulikuwa na kongamano la wanawake na akina dada ambalo liliongozwa na Mkurugenzi wa ITV na RADIO ONE wanasema "mwanamke ni sawa na Mwanaume tena kuna Nyanja mwanamke kamzid mwanaume" je! Kuna ukwel wowote katika hili..

.
Wajaribu siku moja kumpanga bondia mwanamke mwenye uzito sawa na mwanamume katika ulingo jibu litapatikana. Au hata bingwa wa dunia kabumbu la wanawake wapewe mechi na mabingwa wanaume tuone kama hiyo lugha yao ya kulaghai itaendelea.
Siku zote wanawake wadai haki ya ushiriki sawa na kamwe sii haki ya usawa. Hiyo haipo na hata maumbile yenyewe yanahubiri hivyo.
.
 
Wana JF..
Jana kulikuwa na kongamano la wanawake na akina dada ambalo liliongozwa na Mkurugenzi wa ITV na RADIO ONE wanasema "mwanamke ni sawa na Mwanaume tena kuna Nyanja mwanamke kamzid mwanaume" je! Kuna ukwel wowote katika hili..
Sijui waliongelea mambo gani hata ikafikia hiyo usawa na upande!! Tukichukulia upana wa mambo nikweli kuna mambo wanatushinda; mifano (1) kudhibiti matumizi ya hela, (2) kujali muda wa kwenda kazini, (3) huruma (4) kuhudumia (5) Usiri juu ya mambo ya mapenzi (hawako wazi hata kama mtu kakuchoka hakwambii) (6) Wivu na mengine mengi....
 
Wana JF..
Jana kulikuwa na kongamano la wanawake na akina dada ambalo liliongozwa na Mkurugenzi wa ITV na RADIO ONE wanasema "mwanamke ni sawa na Mwanaume tena kuna Nyanja mwanamke kamzid mwanaume" je! Kuna ukwel wowote katika hili..

washaurini wake/wapenzi wenu wasipende kuwasikiliza wanawake waliofeli katika mahusiano au ndoa. Vinywa vyao vimejaa sumu.
 
Mbona haya ni maradhi sawa na mengine tu si hata mtoto wako kuna kipindi anajiona yeye ni zaidi ya wewe baba yake mbona hata shetani alijiona ni sawa na mungu na wala haijakuwa kweli
Point!...got that needle in the haystack!
 
Dunia ingekuwa sehemu ngumu sana kuishi kama wanawake na wanaume tungekuwa sawa!
Msimkosoe muumbaji jamani!!
 
Unaposema wanaume wako sawa na wanawake unasema kuna biological differences, mbona husemi biological equalities. Hivyo kwa jambo hilo tu la tofauti ya kibailogia ni mojawapo ya tofaut ya waziwazi ambayo hata mtoto mdogo ukimuwekea binadamu wawili wa jinsia tofauti halafu muulize yupi baba na yup mama japo siyo wazaz wake atatofautisha tu.
 
Wanawake wangekuwa na ndevu kama kambare wangenyanyasa sana
 
strengths za mwanamke
anaweza ku-predict unforeseen risks kuliko mwanaume
anavumilia mateso
ameumbiwa moyo wa huruma na upendo
akikomalia jambo lazima atalimaliza
anaweza kumsoma mwanaume kirahisi na kujua namna ya kumu-exploit mwanaume ndani ya muda mfupi
anajua kupangilia muda wake

weakness za mwanamke

anadanganyika kwa kuona mazingira
haangalii upande wa pili wa jambo
anatunza visasi kwa muda mrefu
anahamishia hasira zake kwa mtu mwingine hata kama hahusiki na jambo lililomfika
anaogopa kufa


strengths za mwanaume
anaangalia hadi moyoni mwa mtu
Anatunza mambo mazito moyoni mwake
anasahau mabaya
anakubali kupoteza
anakubali kuanza upya ( New beginning)
haogopi kufa

Weakness za mwanaume
hajui kumsoma mwanamke
anongozwa na tamaa za mwili wa mwanamke
hajui kutunza muda
anadhalau hatari ambazo angeweza kuziepuka kabla hazijafika mbali


kwa hiyo wmanamke na mwanaume hawafanani
 
Kamwe mwanaume hawezi kuwa sawa na mwanamke.
Tungekuwa sawa tungekuwa tunaitwa wanadamu tu lkn kwa vile tuna tofauti ndio maana kuna jina MWANAUME na jina MWANAMKE.
 
Ni kweli wote tupo sawa just biological differences tu...mbona iko wazi hii?? Nilisoma abroad injiniaring,field ngumu kabisa top scorer wote walikuwa wadada!! Wametuzidi vingi tu, na wana IQ kubwa kuliko sie...na kuna msemo umezagaa siku ingawa siupendi lakini yabidi kuumeza tu..."Wanaume Suruali"[/QUOTE
Hahaha umenchekesha sana halafu sasa hao wanawake wenye IQ kubwa Mara nyingi ndo wanaangukia mikono ya wanaume suruali sijui kwa mini maskini!
 
46-45=1 😕 haka ka moja ndio kawe kitenzi kikuu

Genetically, a man is an INCOMPLETE WOMAN. But one needs to know a lot about genetics before he can understand and agree to this assertion.
 
Back
Top Bottom