Mwanaume ni sawa na Mwanawake.

Mwanaume ni sawa na Mwanawake.

Huitaji kunijibu mimi...stick kwenye hoja rather than asking me, or kusema kuna tofauti kubwa without any evidence or script from the bible....jitambue kenge maji wewe
ivi wewe ndo ulisema umesoma nje??? wanasema elimu yetu si bora lakin mbona wewe umesoma nje na bado uwezo wako wa kimawazo sio bora??? jitambue ke.nge ji.k--- wewe!!!
 
tunafanana ila tunatofautiana,usawa kati ya mwanamke na mwanaume haupo!hata wenyewe wanajua,ndo maana wanakauli mbio yao'wanawake tukiwezeshwa tunaweza'huweza kuwa sawa na aliekuwezesha...pia hawawezi kuweka midaho ya wazi na wanaume kuthibitisha kauli yao....
 
Wana JF..
Jana kulikuwa na kongamano la wanawake na akina dada ambalo liliongozwa na Mkurugenzi wa ITV na RADIO ONE wanasema "mwanamke ni sawa na Mwanaume tena kuna Nyanja mwanamke kamzid mwanaume" je! Kuna ukwel wowote katika hili..

uwezekano ni mkubwa,kasoro kusema kama mwanamke anamzidi mwanaume,they are both human beings,just minor sex and bilogical roles,
in fact woman is a well organised man(WOMAN=W Stands for well,O stands for organised,hence WOMAN is a well organised man)
 
Mwanaume aliumbwa kwanza! Ebo! Halafu akaumbiwa mwanamke kutoka kwa ubavu wa mwanamme
Na nyongeza, mwanamke atakuwa chini ya mwanaume.
 
Back
Top Bottom