Mwanaume ni sawa na Mwanawake.

Mwanaume ni sawa na Mwanawake.

Wana JF..
Jana kulikuwa na kongamano la wanawake na akina dada ambalo liliongozwa na Mkurugenzi wa ITV na RADIO ONE wanasema "mwanamke ni sawa na Mwanaume tena kuna Nyanja mwanamke kamzid mwanaume" je! Kuna ukwel wowote katika hili..

waache hao wa beijin wajifurahishe cuz wapo usingizin bado wakiamka watakuta hakuna kitu km hicho wanachokifikiria na wala hakitakaa kitokee.
 
Ni kweli wote tupo sawa just biological differences tu...mbona iko wazi hii?? Nilisoma abroad injiniaring,field ngumu kabisa top scorer wote walikuwa wadada!! Wametuzidi vingi tu, na wana IQ kubwa kuliko sie...na kuna msemo umezagaa siku ingawa siupendi lakini yabidi kuumeza tu..."Wanaume Suruali"
hata unacho ongea hukielewi,sasa bilogical differences nini hasa kama sio tofauti tena kubwa??? think big. hakuta kuja kuwa na usawa kati ya mwanamke na mwanaume katika ulimwengu huu hata siku moja labda baada ya kiama na ninayasema haya kwa uhakika kabisa bila kupepesa maneno.mwaume atabaki kuwa mwanaume na mwanamke atabaki kuwa mwanamke na hawato kuja kulingana hata siku moja ,tatizo mnaungiza siasa hadi kwenye mambo ambayo haiwezekani kuja kutokea na ndio maana huji kukuta hata siku moja jogoo na tetea wakawa hawana tofauti au dume la simba likawa sawa na simba jike. ni ninacho amini mungu angewapa wanawake mamlaka ya kuwa na nguvu na uwezo kama wanaume nahisi hali ingekuwa ni hatari sana kumbuka (hatuongelei uwezo wa darasani)kuna mambo mengi sana ambayo mwanaume amejaaliwa ambayo hata mwanamke afanye nini haitokuja tokea kufanana na kwa mwanamke pia ana majaaliwa yake ambayo mwanaume hata afanye nini haitotokea watu hawa kufanana, hizo ni siasa za wanawake wachache walio shindwa kuheshimu ndoa zao kama maandiko yanavo sema halafu wanakuja kurubuni na wenzao.ndio mana ndoa siku hizi hazidumu sababu kila mtu anataka awe kichwa cha nyumba,hii nayo ni laana.
 
Hatuko sawa hata kidogo tunatofautiana sana! Kuhusu IQ na maendeleo yanategemea alivyoandaliwa na familia yake. Walinganishe wanawake wa Tanzania na Ulaya hata kwa maendele wanazidiana. Huyo mama wa Itv na Radio One analingana na tajiri yake Mengi. Waache kuleta mambo yao ya kwenye majukwaa. Mwanaume aliumbwa kwa mfano wa Mungu. Na tufanye mtu kwa mfano wetu. Mwanamke ametolewa kwenye ubavu wa mwanaume. Eti Lwakatale mchungaji! Hizi ni siasa kwenye neno la Mungu! Hastaili kusimama kwenye madhabahu! Nawasilisha.
 
Huo usawa wanaoungelea ni upi? Tangu lini sikio likawa sawa na kichwa? La sivyo tusimame pamoja halafu turushe mkojo dirishani, tukifanikiwa kuurusha dirishani hadi nje wote basi tuko sawa.
 
Wana JF..
Jana kulikuwa na kongamano la wanawake na akina dada ambalo liliongozwa na Mkurugenzi wa ITV na RADIO ONE wanasema "mwanamke ni sawa na Mwanaume tena kuna Nyanja mwanamke kamzid mwanaume" je! Kuna ukwel wowote katika hili..

Hatuko sawa ni kama useme Mlima na Kichuguu vipo sawa, m/ume atabaki kuwa m/ume siku zote that why m/mke akatokea ubavu wa kushoto wa m/ume.

M/mke akiweza kukojoa huku amesimama bila kujikojolea nitaamini tupo sawa.
 
Wana JF..
Jana kulikuwa na kongamano la wanawake na akina dada ambalo liliongozwa na Mkurugenzi wa ITV na RADIO ONE wanasema "mwanamke ni sawa na Mwanaume tena kuna Nyanja mwanamke kamzid mwanaume" je! Kuna ukwel wowote katika hili..

Mhhhhh, ngoja nikajifikirie kidogo, nitarudi!
 
Wasomi tuambieni kwa kutumia tafiti zenu, lakini zisiwe za Harvad maana mwanamke wa marekani ni tofauti sana na wa Lokuledi-NTWARA.
 
Biologicaly hapana mwanaume sio sawa na.mwanamke

At chromosome level, a woman is a more complete being than a man. A woman has all 46 complete chromosome while a man has 45 complete and the 46th (y-chrom) being kind of incomplete!
 
Ni kweli wote tupo sawa just biological differences tu...mbona iko wazi hii?? Nilisoma abroad injiniaring,field ngumu kabisa top scorer wote walikuwa wadada!! Wametuzidi vingi tu, na wana IQ kubwa kuliko sie...na kuna msemo umezagaa siku ingawa siupendi lakini yabidi kuumeza tu..."Wanaume Suruali"

Mbona unajichanganya???!!! Tuko sawa au wametuzidi??
 
At chromosome level, a woman is a more complete being than a man. A woman has all 46 complete chromosome while a man has 45 complete and the 46th (y-chrom) being kind of incomplete!

46-45=1 😕 haka ka moja ndio kawe kitenzi kikuu
 
Kwanza Mungu alimwumba mume, halafu akamwumba mke. Hawa walipewa mmajukumu tofauti, lakini yanayotimilizana katika ndoa. Kungekuwa na usawa kungekuwa na mapungufu makubwa sana.
 
Sijui usawa kati ya mwanaume na mwanamke uko katika nyanja ipi! Kuitwa tu mwanaume na mwingine mwanamke tayari hicho ni kiashiria cha utofauti.

Tukijilejeza kwenye uungu, mwanaume baada ya kuumbwa (ADAMU) Mungu alimuumbia mwanamke (HAWA) kama msaidizi wa mwanaume.

Lakini kubwa zaidi mwanamke akatokana na ubavu mmoja tu uliotwaliwa toka kwenye mbavu za mwanaume.

Niambieni huo ulinganifu kati ya binadamu hawa wawili unatoka wapi?
Kusema mwanaume na mwanamke ni sawa nikupingana na Mungu muumba dunia na vyote viijazavyo.
 
Ni kweli NN lakini kuna hichi kipengele Nadhani kitakuwa kinahusisha mambo ya IQ na development

wanatuzidi kuchomwa sindano ya nyama, kuvuja kila mwezi, kubeba mimba, kunyonyesha.NK
 
A woman remains woman mpaka kiama unless azibe k na kupandikiza pe.nis.

Hebu uliza wanaume ambao ni sawa na wanawake wajitokeze hapa waseme then utoe hitimisho.
Unajua wanawake Akili zao zinamapungufu..utakuta wanakusanywa halafu wanadanganywa eti wao ni kama wanaume nao wanakubali.
Ushawahi kuona hata siku moja wanaume wamekusanywa wakaambiwa wao ni sawa na wanawake wakakubali na kupiga vigelegele? Kama tungekuwa sawa hakuna mtu ambae angehangaika kutafuta haki za wanawake na kuunda umoja wa wanawake.
Hakuna usawa.
Mimi ukiniambia niko sawa na Mwanamke umenitukana tusi kubwa sana na ugomvi wetu hauishi mpaka nihakikishe umelazwa mara kumi kwa majeraha makubwa.
 
Yes! Tofauti ni jinsia na kwamba mwanaume ni more "masculine" na mwanamke ni "feminine". Lakini wote ni "Human beings" wanaohitaji vitu/mambo yaleyale. Mwanamke anaweza kuhimili mikiki na ndiyo maana wajane ndiyo wengi kuliko wagane!!! Lakini sioni mantiki ya hii debate!!!
Wana JF..
Jana kulikuwa na kongamano la wanawake na akina dada ambalo liliongozwa na Mkurugenzi wa ITV na RADIO ONE wanasema "mwanamke ni sawa na Mwanaume tena kuna Nyanja mwanamke kamzid mwanaume" je! Kuna ukwel wowote katika hili..
 
Binadamu wote ni SAWA lakini si SAWASAWA. Tafakari vizuri kauli hii utapata jibu sahihi la hii mada.
 
Wana JF..
Jana kulikuwa na kongamano la wanawake na akina dada ambalo liliongozwa na Mkurugenzi wa ITV na RADIO ONE wanasema "mwanamke ni sawa na Mwanaume tena kuna Nyanja mwanamke kamzid mwanaume" je! Kuna ukwel wowote katika hili..
Ni kweli
 
'equality does not mean we are the same, also does not entail treating women as men or vice versa....... It means respecting each other as humans, inspite of and because of our basic differences!!!!!
Equality means that we are cherish and value the things that differentiate us as men and women' BAAAAASI!!!!!!! Mengine ni porojo tu!!!
 
Back
Top Bottom