Mwanaume ni nani na uanaume ni nini?

Mwanaume ni nani na uanaume ni nini?

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,481
Reaction score
3,551
Je ni vitu gani vinaashiria uanaume na ni vipi vinaharibu uanaume?

Kwangu mimi naona mwanaume, pamoja na kua na maumbile ya kiume, mwanaume anathibit hisia zake na kutumia mantik/ akili yake. A man can set aside his emotions and lust and using his logic/ and intelligence on making decisions, Mostly for the long term gain or for a big win( which might involve family, community or even a country).

Unaweza kua na nafasi ya kufanya jambo ila ukilitazama ki mantik unaona halifai japo linaweza kukupa furaha ya muda mfupi, basi unaachana nalo.

Mfano mi ni handsome, wadada wengi wananitaka, je nitembee nao wote? Jibu ni NO, lazima utumie mantiki, usiongozwe na hisia, that is how to be a man.

  • Kusafisha kucha saluni hakuondoi uanaume,
  • Kufanya skincare hakuondoi uanaume
  •  Kunukia vizuri na kua na ngozi nyororo hakuondoi uanaume
  • kufanya masaji hakuondoi uanaume
  •  Kua mzuri hakuondoi uanaume.
Watu wa FAKE MASCULINITY wanadhan kua na sura ngumu ya kutisha ndio uanaume, kua rough rough ndio uanaume, in short ili wakuone mwanaume, bas you have to be mess, and that is horrible.
so be clean, soft, nice scent , strong in mind and body, the rest will follow. And that is who I am.
 
"A man can set aside his emotions and lust and using his logic/ and intelligence on making decisions, Mostly for the long term gain or for a big win( which might involve family, community or even a country)."

Hapa sawa kwengine utumbo.
 
Unachokiona sawa kwa upande wako kama mwanaume kifanye,

Mbona unahitaji kupata muongozo wakati hapo hapo unaukataa,usiombe ushauri wowote mkuu we nenda osha kucha na dada zako,piga skincare mnaita kublow job sijui ku grow up anyway keep going lil man
 
Wewe kuwa utakavyokuwa ila baki na uanaume wako na huo ndio uanaume. Kuna washikaji wanaogopa hadi kuvaa T-shirt ya pink ni vile tu wanaona wao zinawaharibia uanaume wao.
 
Nilitegemea huu uzi uwe na wachangiaji wengi, lakini wapiii?!
Jamani waja mkuje mtoe ufafanuzi, nawiwa kujua kwa undani hili jambo. Lol
 
Mtoa mada umefeli kabla ujaanza,
HAKUNAGA MWANAUME MZURI
NA MWANAUME HASIFIWI UZURI
 
Kusafisha kucha saluni hakuondoi uanaume,
FB_IMG_17486260138529094.jpg
 
Ningetamani kuijua jinsia ya mtoa mada,

Maana tangu nizaliwe sijawai skia mwanaume anaitwa au kujiita "Haszu"

Hata Kwa utani,
mwanaume uwezi mtania mwanaume mwenzako Kwa jina linaloishia na "ZUU"

Jina la kiume likiishia na "Zuu"
Halileti picha nzuri Sana Kwa jamii iliyostaarabika.

Ushauri WA Bure Kwa mtoa mada,
Abadili I'd yake,ndo twendelee na mjadala.
 
Back
Top Bottom