Mwanaume na Kujichekesha chekesha!

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
218
Points
160

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 218 160
Wapwazi na mabinamu wa kweli! Niwieni radhi nimezama kwenye jukwaa la Siasa na Uchanguzi kwa maslahi ya taifa na kizazi kijacho. Nimeamua kurudi kwa muda nyumbani. Nisaidieni hivi kwanini baadhi ya wanaume wanapenda kucheka cheka bila hata sababu ya msingi? Una mpa issue ya maana kwanza yeye anacheka na kujichekesha hili ni tatizo ama kitu gani? Je ni turufu kwenye kujenga mahusiano na warembo wadada?

Msaada!
 
Tausi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2010
Messages
1,471
Likes
8
Points
0

Tausi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined May 23, 2010
1,471 8 0
Anakuchekea mwanaume mwenzake au una maana gani?
Kama anajichekesha kwa wanaume wenziwe ujue huyo si rizki! Kama anajichekesha wa wasichana basi huyo ana soni za kijinga.Hajiamini.
 
Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Messages
8,609
Likes
54
Points
145

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2009
8,609 54 145
Kuna jamaa wakati mpata kilauri, ukinyanyuka tuu kwenda msalani kwa haja ndogo, tayari na yeye yupo nyuma,
Si unajua sehemu ya Adamu mnakuwa mmejipanga kamstari flani
Sasa jamaa na yeye anajifanya kujisaidia huku anachekacheka na macho yote kayaelekeza kwenye fimbo yako
Hii hasara kabisa, haangalii hata anapomwaga maji yake
 
Ferds

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2010
Messages
1,267
Likes
27
Points
135

Ferds

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2010
1,267 27 135
Wapwazi na mabinamu wa kweli! Niwieni radhi nimezama kwenye jukwaa la Siasa na Uchanguzi kwa maslahi ya taifa na kizazi kijacho. Nimeamua kurudi kwa muda nyumbani. Nisaidieni hivi kwanini baadhi ya wanaume wanapenda kucheka cheka bila hata sababu ya msingi? Una mpa issue ya maana kwanza yeye anacheka na kujichekesha hili ni tatizo ama kitu gani? Je ni turufu kwenye kujenga mahusiano na warembo wadada?

Msaada!
Hiyo ni tabia tu bwana mchungaji mi cdhani kama inamaana tofauti na jinsia yake
 
RR

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2007
Messages
6,776
Likes
254
Points
180

RR

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2007
6,776 254 180
Hapana kiongozi ! Natatizwa na baadhi ya wanaume hata ukimsalimu anakuwa anacheka cheka......umesoma hapo juu mkienda nao kukojoa basi watakuchungulia na kucheka cheka lol!
Kanisani kwako kuna waumini wa 'kiume'? :smile-big:....
Vipi anaechokoza na kukimbilia kichakani kujificha? Ofkoz kuna wale wanaojifanya wamelewa chakari na kuangusha gari...:smile-big::doh::doh:
 
Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
218
Points
160

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 218 160
Masa... unamsema nani? si uwe straight tu aisee

Salaam toka pakistani mkuu
Hahahahah mkuu niliishapita huko nilikaa hotelini mjini Kabul kwa siku nne! Sikuwahi ona mwanamke. Ikabidi niulize wenyeji wangu, nikaambiwa wanawake wanafungiwa ndani hawaruhusiwi kutoka nje hata shopping za sokoni ni wanaume.

Hapa si semi mtu ila ndhani kuna wanaume wenye haiba za kike. Mtu kanywa beer moja eti anaangusha gari anataka abebwe lol?
 
Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,973
Likes
122
Points
145

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,973 122 145
Wapwazi na mabinamu wa kweli! Niwieni radhi nimezama kwenye jukwaa la Siasa na Uchanguzi kwa maslahi ya taifa na kizazi kijacho. Nimeamua kurudi kwa muda nyumbani. Nisaidieni hivi kwanini baadhi ya wanaume wanapenda kucheka cheka bila hata sababu ya msingi? Una mpa issue ya maana kwanza yeye anacheka na kujichekesha hili ni tatizo ama kitu gani? Je ni turufu kwenye kujenga mahusiano na warembo wadada?

Msaada!
Mpwa nimesikia umetusaliti leo unataka upeane nae mkono yule jamaa alie chakachua.

Ukiona jamaa anacheka cheka yawekezekana jamaa wananusa nusa kizenji
 
father-xmas

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2010
Messages
530
Likes
15
Points
0

father-xmas

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2010
530 15 0
Kuna jamaa wakati mpata kilauri, ukinyanyuka tuu kwenda msalani kwa haja ndogo, tayari na yeye yupo nyuma,
Si unajua sehemu ya Adamu mnakuwa mmejipanga kamstari flani
Sasa jamaa na yeye anajifanya kujisaidia huku anachekacheka na macho yote kayaelekeza kwenye fimbo yako
Hii hasara kabisa, haangalii hata anapomwaga maji yake
eeh bwana wakuu unajua kuna mtu alnambia bongo kina baba wengi si riziki aiseee...............!
tunaenda pabaya haki ya nani.............!
daaah................!
 
Forum statistics

Threads 1,203,712
Members 456,928
Posts 28,125,963