BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Heheheheheheeeeeeeee poleeeee
Ungemfata huko huko chooni umpe bili alipe
Ungemfata huko huko chooni umpe bili alipe
i wish you are not that type...Yaani boora umetuwakilisha kwa kuongelea hili.....Yaani mimi yalishawahi kutokea ktk dinner...
Ila nikimuona hivi hatoniona teeena nikitoka nae...Kila siku unakuwa busy ukisikia anataka mwende sehemu...Toka peke yako ....Wanakera sana...
Wanaume hamfai kabisa siku hizi,unapanga kidate na mdada ,wakati wa kulipia bili mwanaume mzima na midevu yako unazamia chooni,
Ndo maana Siku hizi wanaume wengi mnaishia kuwa mabwabwa kwa kupenda vya bure
Mtabinuliwa mpaka muharishe damu
watu wengine, hili nalo umeshindwa kumwambia huyo mwanaume wako suruali....? sasa tukusaidieje?
Wachache wenye uelewa kama wako dada..!Wanaume jamani ukimwalika mtu out bili ni juu yako
Mkipanga out bili mnagawana pasu pasu
Akikualika out bili juu yake
Na wanaume msidate wanawake ambao sio standard yenu ndio mnaishia kukimbilia vyooni
Wanawake mbebe hela ya emergency na kama mnaona mwanaumw tia maji tia maji usikubali mwaliko wake
Wanaume jamani ukimwalika mtu out bili ni juu yako
Mkipanga out bili mnagawana pasu pasu
Akikualika out bili juu yake
Na wanaume msidate wanawake ambao sio standard yenu ndio mnaishia kukimbilia vyooni
Wanawake mbebe hela ya emergency na kama mnaona mwanaumw tia maji tia maji usikubali mwaliko wake
Anataka mchango
sema hakyaMungu?