Amekwenda kuhesabu hela chooni ulitaka aibiwe ?
mwanaume kupenda vya bure hata haipendezi...ndio maana mnageuzwa mashoga
hahaaaaaaaa ukute uliagiza vyakula vinywaji hivyoooooooo
mtu akazamia chooni na kwenye kapochii una nauli ya kukurudisha unapokaa LOL
Sipati picha Blood pressure ilikua inasoma ngapi!
Na kama ulirusha mate sifa nyingi sana kwa wahudumu wakati wa kuagiza, sipati picha walikupaje za uso!
Experience stiff slops sometimes! Nway kama hukufa it will make you strong!
\Wanaume hamfai kabisa siku hizi,unapanga kidate na mdada ,wakati wa kulipia bili mwanaume mzima na midevu yako unazamia chooni,
Ndo maana Siku hizi wanaume wengi mnaishia kuwa mabwabwa kwa kupenda vya bure
Mtabinuliwa mpaka muharishe damu
Ha ha ha ha!!! Pole, wapenda kula vya bure. Umekutana na kijana wa mjini.
Wanawake fanyeni kazi achaneni na hulka ya vya bure. Shenzii typuuuuuu!!!!
Utajiju ww itakuwa mtoto wa hostel mna tabu nyinyi chips kuku chips mayai na bavaria juu usikimbiwe tena uskute mara kwanza tuu unakutana na mtu anakufanyia hivo mm nasepa tuu kwa hali hiyoo ndo ukome haki sawa kwa wote