Mwanaume mzima unashika shika........!

Mmm pole sana ninavyowajua mnavyopendana na kushikamana mwenzako huyo! Sasa mkuu labda kuna kitu alikuwa hataki uone kwenye bag, au kwenye laptop alikuwa huwa ana chat na washikaji ...... ndio ukubwa huo kaka yatakwisha tu. ni upepo utapita
 
Mark my word :hakuna haki sawa kati ya mwanamke na mwanaume never and it will never be.mwanamke kwa jinsi mungu alivotuumba tupo chini ya miguu ya waume zetu.

Wazazi wako walipoteza muda mwingi kweli kukupa malezi, believe me hutatetereka katika maisha yako ya ndoa. Unajua ndoa nyingi zinavurugu kutokana na wanawake kutaka na kuwa wanaume na kutoa maamuzi ya wanaume. Kinachoshangaza sasa kuna vita ya wanaume nao kugombania kuwa wanawake ktk ndoa. Always wape wanao elimu hii kwani hata leo na kesho watakukumbuka na kuitumia ktk maisha yao.
 
mmmh ni hayo tu au kuna mengine umetuficha?kwani laptop ina privacy gani mpk mtu awake namna hiyo tena mkeo?kuna vitu hujatueleza bana.
 
ukweli ndo huu...dizaini kuna kitu anaficha ficha maaana kwa akili ya kawaida haukuna mantiki yeye anaendesha gari halafu ndo akuwashie hiyo pc...halafu kwa nin unamuachia aendeshe yeye? hilo ni swala jingine..point ni hii ungemwambia privacy iimekwisha tangu alipoolewa kama anataka privacy angebaki nyumbani kwao na mwambie unao ubavu wa kufanya chochote kile kwake si simu wala laptop..asijikute wakishua wkt alikua hajui hata kuiwasha hiyo laptop..halafu unakausha..eeennnhh namna hiyo mwanamke ukimchuklia poa lazma akupande kichwani...asije akakudhalilisha mbele za watu...
 
eeeehhh msacha imekuwaje tena

aaaah leka kapsa! cha...

Wanawake wa siku hizi bana..mh! bado sana aisee...labda nikifika 40 ivi...

Ebu cheki huyu afu kuna watu wanakuja kumwambia eti alikosea na yeye.
KWELIIII!???? Mume....isn't it logical laptop yako ikiisha charge ni haki na adili kutumia ya mkewe...sasa maana ya kuwa mwili mmoja ni nini basi!?? chumbani pekee??
Eti, kenjiwia mleu...
Mume HAOMBI kitu kwa mkewe ANATOA TAARIFA TU..sasa hapo mnaposema huyu kakosea ndo mm nnapoona sitaweza kuoa ntamshindwa huyo binti atakayetaka niombe kutumia laptop yake, au simu when yangu imeisha charge!!!!
 

Mimi ni signature yako imenikosha. Tafadhali nikumbushe kidogo hiyo ni Orchestre Makassy au Toma Toma?
Dah !! Wakongwe.



 
Tunaheshimiana sana!!! Ndo mana nilihamaki ngumi ikawa inanyanyuka inarudi!!! Hatujawahi kukoseana heshima kama hivi naona wengi wanasema anajaribu kupima atafanywaje ili aboreshe kiburi ama apunguze kiburi!! Sasa kitakwisha chotee

 
Alaaaaah!!! Kakosea choo ujueee!!!! Kuna comment zilinipa hasira jana usiku mweee!!!


 
Duh!!! Kumbe

 
Nilihofia ajali coz alikuwa anadrive!!! Vinginevyo kingenuka bana!!!

Mkuu hasira na ujasiri unauachaga nyumbani nini? ingekuwa mm, kwanza hiyo LAPTOP naivunja ili ajue nimechukia, halafu lazima angekula vibao vya kutosha!
 
Tupo Pamoja, ndiyo safari niliyoianza sasa!!!

 
Nimependa unavyojitambua!!! Point noted madam!!!

 
Ila mi ningependa huyo mama awemo humu ndani!, na yawezekana yumo!ila kwa vile jf ni we na roho yako!
 
Only that, hakuna jingine Purple!!! Kabla ya hapo tulikuwa tunataniana, tunacheka huku safari ikiendelea!!

mmmh ni hayo tu au kuna mengine umetuficha?kwani laptop ina privacy gani mpk mtu awake namna hiyo tena mkeo?kuna vitu hujatueleza bana.
 
Na wewe mwanaume jiangalie mara mbili.....tusimlaumu mke tuu...mkeo ancheza kulingana na beat zako!!yaelekea na ww ni mtoto mayai!!!Kama una uwezo wa kumvua nguo seuze laptop??you must be kidding!!
 
Hajawahi kukuchabanga makofi au kukukwida kweli?
Aisee,au ana sauti nzito zaidi yako hivyo hujisikia raha kukuungurumia?
Pole sana,mkanye na mueleze makosa yake.Hapaswi kuwa hivyo,ni hatari kwa ndoa yake!:shut-mouth:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…