Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,160
Kipi kilimsibu Munga Tehnan jamani???
Nilikuwa msomaji na mpenzi mkubwa wa gazeti la Jitambue ambalo kwa muda mrefu sasa halipatikani mtaani.Katika gazeti hilo mambo mengi kuhusu saikolojia yalizungumzwa na kutolewa ufafanuzi.Moja ya jambo ambalo liliwahi kuniacha hoi katika moja ya makala ya gazeti hilo,ni ile iliyokuwa inazungumzia kuhusu wanaume kuingia kwenye mzunguko wa hedhi kama walivyo wanawake.Gazeti hilo lilitaja baadhi ya dalili za kumgundua mwanaume kuwa yuko katika siku zake ni pale anapokuwa na hasira kupita kiasi au anaonekana kubadilika kabisa tofauti na tabia yake halisi.
Wenzangu imekaaje hii?!
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un, Alhamdulillah... kumbe Munga Tehnan ameshafariki dunia!! Mwenyezi Mungu amrehemu!Gazeti lile lilikuwa linamilikiwa na Munga Tehnan (RIP) baada ya kufariki ndio maana halionekani tena.....mi nadhani kuna ukweli......teh teh teh
Du hii ndio kwanza naisikia.
hahaha we finest.Mwishowe watakuja waanze kusema kuwa (mwanaume naye ana bleed)
Mwishowe watakuja waanze kusema kuwa (mwanaume naye ana bleed)
jf u need ant-virus to scan wadudu maana dah,anyway mimi ninayo mcafee hapa kwa yeyote anaetaka
hahaha we finest.
Lakini kuna watu humu tangu kuzaliwa ni null and void
kwani definition ya bleeding ni nini jamani???? The Finest.😛layball:
Hahaa duu! Is there any empirically verifiable scientific proof to support this tomfooleric claim?
Hapo nilimaanisha bleeding kama ile ya mwanamke akiwa kwenye hedhi:smile-big::smile-big:
Mayenga,elimu ya astronomy na ya astrology ni elimu za kale mno(ancient knowledge) na binadamu katika historia yake akiwa juu ya ardhi ya dunia hii kwa maelfu na maelfu ya miaka ametumia elimu hizi kwa manufaa yake mengi ikiwemo kuweka kumbukumbu ya muda na siku(kalenda),afya,hisabati,fizikia,kujua majira,kujua hali ya hewa,imani za kuabudu na mambo mengine mengi yahusuyo maisha yake ya kila siku.
Niseme tu kwamba katika mambo mengi elimu hii pia ilimsaidia binadamu kujua/kujifunza mahusiano ya mzunguko wa sayari mbali mbali(celestial bodies) na hali ya mwili wa binadamu,ndio maana kwa mfano mzunguko wa uzazi wa kina mama unaendana na mzunguko wa mwezi kwenye jua.Ni kwa maana hii basi wana JF naomba mchukue diary kila ukiamka asubuhi take note uko katika mood gani,mchana mood gani na jioni mood gani. Fanya hili kwa miezi sita kisha angalia kama kuna repeated pattern au la na hilo litakuwa jibu lako kuhusu mada hii! no reasearch no haki ya kuongea,au vipi wadau?