Mwanaume mwenzangu usikate Tamaa ya maisha

Mwanaume mwenzangu usikate Tamaa ya maisha

Mkuu hilo haliwezekani na ndiyo maana tunapaswa kuangalia namna ya kudeal na hilo suala ili kuepukana na matatizo ya afya ya akili.
Unajua nini kaka Kuna mambo ambayo Sisi wanaume tunapaswa kuyaongea na mengine tunabaki nayo moyoni Tu.

Ndio maana kiukweli hakuna sehemu ya sisi wanaume kuongea mambo yetu ispokuwa unachagua mmoja mwanaume mwenzako wakumwambia mambo yako lakini sio yote kaka.

Sasa unazani Dunia inahurama na Sisi?
Kwa maana hiyo Sisi hakuna sehemu ya kusemea mambo yetu
 
Hakika haya Maisha Hayana Huruma Kwa Sisi wanaume ndio mana tunatakiwa tuyatafute popote pale pale sababu bila huu mchezo wa Hela ya Dunia ya leo tunakuwa sio lolote Kwa jamii.

Tunaonekana tumechanganyikiwa tukiwa tunatafuta haya Maisha.

Tunaonekana tunaviburi tukiwa busy na kutafuta haya Maisha
Tunaoneoana hatuna akili tukiwa hatuna Hela katika haya Maisha.

Wanawake wanatukimbia tukiwa hatuna Hela katika haya Maisha ya Leo.

Na bado tukipata hizi hela tunaonekana wachawi na hatupendi ndugu zetu.YAANI BALAA TUPU.


Tupambane wanangu na wewe mwenetu uliyetoboa angalau endelea kupambana hadi siku ya mwisho WA mchanga wako.

Usikate Tamaa ya haya Maisha ya Sasa mana Dunia hii haina huruma Kwasisi wanaume hata kidogo Ila Ulimwengu upo na Sisi sababu tunaficha mambo mengi moyoni.

Wacha niendelee Kula nyagi.
Sheria namba 1 kwenye utafutaji hakuna kukata tamaa
 
Back
Top Bottom