Mwanaume mwenzangu huu ni uboya na ushamba

Mwanaume mwenzangu huu ni uboya na ushamba

Mi nashangaaga kwenda Bar unakuta dume zima linakunywa serengeti lite sijui castle lite sijui smirnoff black ice etc, sasa na demu wako anywe nini? huku ni kuaibishana, mwanaume kula vitu vigumu vya kukunja uso aisee [emoji23]
 
Nasema ni uboya na ni ushamba haswa

Haiwezekani dume zima tena wa kutoka kanda ya ziwa unaenda bar tena bar high classic uko na demu unaagiza soda na demu anaagiza Balimi ndogo ile strong beer( tofautisha Balimi lager zile za dar na Balimi extra lager zile za mwanza)

Huku ni kujiabisha mwanaume utaendaje Bar na mtoto mkali yeye anagida Balimi extra lager strong beer alc 5.6% V/V wewe unakunywa soda ya jero tena mirinda nyeusi

Kama una hii tabia unatuhaibisha wanaume wenzako na bora Ukatubu
Kwa akili hizi bado tunalaumu wazungu kutuingiza cha kike kwenye mikataba ya madini?
 
Haya ni matatizo yo mtu akipata bundle za ofa. Kila kitu akiwaza anaandika.
 
yaani nimekunywa vinywaji vyote duniani ila pombe hapo mtanisamehe
 
wanaume wa bara ndio upeo wao wa kufikiri na ujanja ndio umekomea hapo.
Pole Sana
 
Nasema ni uboya na ni ushamba haswa

Haiwezekani dume zima tena wa kutoka kanda ya ziwa unaenda bar tena bar high classic uko na demu unaagiza soda na demu anaagiza Balimi ndogo ile strong beer( tofautisha Balimi lager zile za dar na Balimi extra lager zile za mwanza)

Huku ni kujiabisha mwanaume utaendaje Bar na mtoto mkali yeye anagida Balimi extra lager strong beer alc 5.6% V/V wewe unakunywa soda ya jero tena mirinda nyeusi

Kama una hii tabia unatuhaibisha wanaume wenzako na bora Ukatubu

OK kesho wa kwanza kanisani kwenda......KUTUBU isiwe shida.
 
mkuu ana maanisha kama unywi beer yanini huende baar kwann mwanamke akuburuzee
 
Ulichokiandika ndo uboya na ushamba wenyewe wa kutoka mikoani huko halfu bila aibu unalinganisha Dar na Mwanza...
 
Hivi kati ya safari na balimi ipi ni strong?
 
Back
Top Bottom