Mwanaume mwenzangu huu ni uboya na ushamba

Akili za kijana wa mkoani ndio zimeishia hapa.
 
Nasema ni uboya na ni ushamba haswa

Haiwezekani dume zima tena wa kutoka kanda ya ziwa unaenda bar tena bar high classic uko na demu unaagiza soda na demu anaagiza Balimi ndogo ile strong beer( tofautisha Balimi lager zile za dar na Balimi extra lager zile za mwanza)

Huku ni kujiabisha mwanaume utaendaje Bar na mtoto mkali yeye anagida Balimi extra lager strong beer alc 5.6% V/V wewe unakunywa soda ya jero tena mirinda nyeusi

Kama una hii tabia unatuhaibisha wanaume wenzako na bora Ukatubu
SASA KAMA YY HATUMII BIA NA MWENZAKE ANATUMIA UBOYA WAKE UKO WAPI?
 
Nasema ni uboya na ni ushamba haswa

Haiwezekani dume zima tena wa kutoka kanda ya ziwa unaenda bar tena bar high classic uko na demu unaagiza soda na demu anaagiza Balimi ndogo ile strong beer( tofautisha Balimi lager zile za dar na Balimi extra lager zile za mwanza)

Huku ni kujiabisha mwanaume utaendaje Bar na mtoto mkali yeye anagida Balimi extra lager strong beer alc 5.6% V/V wewe unakunywa soda ya jero tena mirinda nyeusi

Kama una hii tabia unatuhaibisha wanaume wenzako na bora Ukatubu
wasukuma hamuachi ushamba, sasa ina maana gani kusema mwanaume wa kanda ya ziwa, una tofauti gani na wanaume wa maeneo mengine, au kwasababu ninyi hamkati magovii yenu hayo. hivi unajua ukionekana unatoka kanda hiyo sasaivi ni kashfa, watu wa huko sasaivi wanabadilisha makabila....we umechelewa sijui wapi utakuwa umetoka porini muda si mrefu bado unanuka ng'ombe.
 
Hahaaaa. Kama vyuma vyake hajavipaka grisi afanyeje sasa.
Unakuta kidume ameenda out na mtoto mkali lakini mfukoni ana twenty, unategemea atafanyaje kama sio kuzuga atumiagi gambe ili bajeti iende sawa.
 
wasukuma hamuachi ushamba, sasa ina maana gani kusema mwanaume wa kanda ya ziwa, una tofauti gani na wanaume wa maeneo mengine, au kwasababu ninyi hamkati magovii yenu hayo. hivi unajua ukionekana unatoka kanda hiyo sasaivi ni kashfa, watu wa huko sasaivi wanabadilisha makabila....we umechelewa sijui wapi utakuwa umetoka porini muda si mrefu bado unanuka ng'ombe.
Ngoja nikutazame kama sikuoni
 
Back
Top Bottom