Huo wivu ,umefikia hatua gan??
Kundi A..
1-Anashika simu yako ila haongei zaidi ya kujikoosha kama Mtanzania aliyekua anajisaidia chooo che pazia tu kisha akasikia mtu anakuja choon!!
2--Kila mara anashika simu yako na anakuuliza maswali ,mara hii namba yanan?? Mbona imekupigia sanaa??nani amekuambia Mambo???
3--Anashika, anakuuliza na anakupa kipondo kama mbwa koko ???
Kundi B
1--Ana kupa muda wa kutoka na Kurudi nyumban
2--Unatoka kwaajili ya kazi ila kila muda anakupigia simu na video
3--Unatoka ila ole wako akukite umesimama njian na Jamaa
4---Hutoki kabisaa yaan nakazi kakuachisha
5--Hutoki yaan hata kwa mashost huendi, hata kwa ndugu huendi. Yaaan hadi kwa wazazi wako kapiga pini.
Suluhisho
1--Kama anadalili moja ya kundi A na hana hata moja ya kundi B au anayo Moja .,.,.... Ongea naye kiutu uzima.
2--Kama anazo mbili za Kundi A na moja ya kundi B..... Anza kua makini
3--kama anazaidi ya mbili za kundi A nambili za kundi B....... Anza harakati za kuachana na huyo Mbwa , Nikwamba yeye anagonga wa wengine. Ila hataki kugongewa, kwa mantiki iyo kuna siku MTAJIPA KESI.