mkuu wale wanatafuta mkunajina wakikuta" watoto wa paka" ndo wanahonga mbayaHaya ni mawazo hatari sana kuwemo kichwani mwa binadamu achilia mbali Mwanamke, tuanze kuchange mindset zetu kwanza.
Labda utueleze na wale wanaoachana na Waume zao wakati nyumbani kuna kila kitu sijui unasemaje hapo!!
hujui kama watanzania kutafuniwa kila kitu 2mezoea ee hata kama ukijitahidi ni ujuzi kidogo 2 unaongeza lkn kila kitu umetafuniwa we wasubili kumeza 2 so usishangae eti mwanamke asubiria kutafuniwa wakati hata wewe unataka hadi umezeshweMnaleta shida zenu toka kwenu kuja kumalizia kwa mwanaume, kubweteka ndo mnajiendekeza. Mnataka mtafuniwe mje mmeze kilaini. Mfumo dume utawatafuna sana na watawatesha na pesa zao. Endeleeni kuuza kwa wenye pesa.
mwanaume mwenye upendo wa kweli ndio mpango mzima coz kama ni hela simtazitafuta???anaweza akawa na pesa lakini hakuna upendo ndio hapo ndoa inakuwa ndoano. Samahani wewe ni mchaga??
lakini sio kujibwetesha na kusubiri mwenye hela, kuna leo na kesho mwanaume anaweza kufa au kufilisika au kukufukuza. Kama hujajifunza kutafuta vyako si utakua chizi au kujinyonga? Sioni ajabu wanaume kuendelea kuwatesa wanawake kwasababu ya ujinga wao huo wa kutegemea kuolewa na wenye pesa tayari. Mwisho wa siku mtaanza kukimbilia women empowerment.
Hahahah men wa ckuhiz bana wanakwepa majukumu balaa, ni wajibu wenu kuwa sole provider in the house so mojawapo ya means ya ww kufanikisha hilo ni mkwanja msikimbie majukumu yenu nyie si ndo vichwa vya nyumba? Sasa kichwa gani kiko dhoofu lihali? B men play ur part
mwanamke ni big booty nice boobs apart from that we ni wamazoezi tu...
ndo maana mnataka wenye hela kabisa? hujui kukimbia majukumu ni tabia ya mtu?
mhm wanaume tuendelee kusaka pesa...hawa naona daiky papuchi zao wanaziwekea monetary value...sasa hamna shida ila mkigegedwa na kuachwa msilalamike
Careful Broooooooo! Take it easy!!!!! Unatukana wake za watu hapa na wasio na hatia! Nileanzisha thread mwengine mikombora inawatungua wengine! At least show the decency ya kurushia mimi makombora, wengine waache in Peace!
Mwanaume Urefu babu, Mvuto na Pesa! La siivo ni wakuchunwa tu!
Mnaleta shida zenu toka kwenu kuja kumalizia kwa mwanaume, kubweteka ndo mnajiendekeza. Mnataka mtafuniwe mje mmeze kilaini. Mfumo dume utawatafuna sana na watawatesha na pesa zao. Endeleeni kuuza kwa wenye pesa.