Mwanaume mwenye hekima na heshima anahitajika

Mwanaume mwenye hekima na heshima anahitajika

shansarie

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Posts
5,690
Reaction score
3,373
Nieleweke si mimi ni mtu wangu wa karibu anahitaji.Ni mwanamke btn 30 to 35 mrefu kias,i mweupe,mchaga,elimu diploma,mkristo mcheshi, mkarimu ana hofu ya mungu ,naishi Arusha mengine mtazungumza.

Anatafuta mwanaume mkarimu mwenye upendo wa kweli mpenda maendeleo hofu ya Mungu.mkristo
Uwe na kazi tafadhali.usiwe mkorofi ,anayejua thamani ya mwanamke kabila lolote kasoro Muarusha Mungu akipenda muanzishe Familia.

Atakaye pendezwa awasiliane nami Pm kwa mahojiano zaidi then nitakupa contact zake.
kiwatengu usinipige marungu ila nilishakwambia kuhusu huyu rafiki yangu.
 
Yaeh! Picha tafadhal full juu mpk chini tusaminishe na ni vizuri hakuna kipengele cha Dini
 
mahojiano zaidi then ndo utoe contact??? hauoni umri umesogea huo then unataka ulete drama kama upo 20 poleni wadada nadhani huo umri cha kukushauri anza kwenda church na kwaya uimbe
 
Hebu niunganishe nae maana naona mungu kanikutanisha nae ili nijue ukuu wake.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Napenda sana mtot wa kichaga mweupe afu me mwenyew mweupe cjui hao watot watkuaj
 
mahojiano zaidi then ndo utoe contact??? hauoni umri umesogea huo then unataka ulete drama kama upo 20 poleni wadada nadhani huo umri cha kukushauri anza kwenda church na kwaya uimbe

Kuongea kwa kashfa hakukusaidii lolote kama huitaji we pita kimya tu. Usichokitaka wenzio wanakimezea mate
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom