Mwanaume mpakistani anataka mke

Mwanaume mpakistani anataka mke

Hii ni kama muafrika anasema anataka mume mzungu ili sjui apate vitu gani sijui uelekeo sijui nini za kuishi ulaya
Na huyo anataka mtz akamnaniliu tu
 
Bado mpakistani hajapata mke japo kanijibu jana,yupo mdada mmoja ndio wanamalizua maongezi naye,huyo dada katokea dodoma
 
1.Ana umri miaka 36
2.mwislamu
3.Yupo Dar ni injinia
4.Anataka mwanamke mtanzania kwa ajili ya kuishi nae kwa ndoa
5.Awe na umri 25-35
6.Ajue kiingereza
Huyo bwana nimekutana nae hapa mza alikuja kikazi na nikakutanishwa nae na rafiki yangu ambae anajua kuwa passion yangu ni kusaidia watu kuoana
Hawa sio wa kuwapa uraia warudishwe kwao haraka sana
 
Vipi bado hajapata? 😂😂😂
Anaongea na mdada mmoja kutoka dodoma,ambae amemualika yeye,akiambatana na wazazi wake,sasa kwakuwa sishiriki hayo maongezi siwezi kujua,lakini dalili ni njema kwani kagharimia kika kitu na alisisitiza kuwa huyo mdada aje na wazazi wake
 
Anaongea na mdada mmoja kutoka dodoma,ambae amemualika yeye,akiambatana na wazazi wake,sasa kwakuwa sishirikinhayo maongezi siwezi kujua,lakini dalili ni njema kwani kagharimia kika kitu na alisisitiza kuwa huyo mdada aje na wazazi wake
Oooh utaleta mrejesho bas.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom