fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,682
- 7,335
- Thread starter
- #61
Namshukuru Mungu mpakistani amemchagua dada mmoja ambae ni mmachame,age 29,muislamu ambae havui hijabu,ni mfanyakazi wa wizara ya mambo ya ndani,kituo cha kazi ni dodoma,ametoa posa,imekubaliwa na mahari kalipa.Mpakistani kanipigia simu kushukuru na sasa wameomba hii issue iishie hapa.Nami nashukuru.Sasa nipo na project ya wadada 2 wa kitanzania ambao wanahitaji kuolewa,namuomba Mola aniwezeshe niwasaidie,nanyi nibeeni Mungu nifanikiwe.Ee Mola wangu nakuomba unisaidie hawa wadada 2 wa kitanzania ambao nawatafutia wachumba,wafanikiwe