Kuna clip inatembea sana jana na leo WHATSAPP. Kuna mzee mmoja mnene wa kichagga kamfumania ben10 mmoja na mke wake nyumbani kwake (mchagga). Mchagga akamsusia dogo mzigo bila faini wala kufumua marinda. Picha zinazotembea leo mchagga mnene hoi yuko hospitali presha iko juu.