Mwanaume mnene ni kituko kwenye jamii

Mwanaume akiwa kiasi anavutia sana ila hiyo mitumbo mnayoipenda inachefua aaaghh
 
Vijana wengi wa sasa wanaona fahari kuwa na vitambi.....wanadhani kitambi ni moja ya alama ya mafanikio.....

Wakati kitambi ni dalili ya maradhi yanayongoja kufumuka kama bomu lililotegwa ardhini.......

Kijana chunga sana afya yako.....ili upate kuufurahia uzee wako.....

Maradhi mengi yanayowakabili wazee ni kutokana na mifumo ya maisha waliyokuwa wakiishi kipindi wako vijana.....

Chukua maamuzi sasa
Badilika sasa.....
 
Best advise ever.
 
No hose pipe inakuwa iko nje all the time,kwa mfano kama umeshawahi kuuona wa punda,kuna wakati huuoni kabisa unakuwa ndani binadamu wamegundua namna ya kuuto mshipi ndani
Kwikwikwikwi hilo la hosepipe nimejikuta nacheka tuu
 
No! hose pipe inakuwa iko nje all the time,kwa mfano kama umeshawahi kuuona wa punda,kuna wakati huuoni kabisa unakuwa ndani binadamu wamegundua namna ya kuuto mshipi ndani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol

kwaio binadamu nao kuna time haionekani au
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…