Mwanaume mnene ni kituko kwenye jamii

mwanaMtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2014
Posts
2,393
Reaction score
1,433
Unene unapofika stage flani unakua too much jaman.
Hasa kwa wanaume wenzangu. Lets all try to maintain our health asee maana unaweza jikuta unaambiwa mama shkamoo
everhurt



UPDATE
USHAURI FROM KikulachoChako
Vijana wengi wa sasa wanaona fahari kuwa na vitambi.....wanadhani kitambi ni moja ya alama ya mafanikio.....
Wakati kitambi ni dalili ya maradhi yanayongoja kufumuka kama bomu lililotegwa ardhini.......
Kijana chunga sana afya yako.....ili upate kuufurahia uzee wako.....
Maradhi mengi yanayowakabili wazee ni kutokana na mifumo ya maisha waliyokuwa wakiishi kipindi wako vijana.....
Chukua maamuzi sasa
Badilika sasa.....
 
Hata Huyu ni mgonjwa kabisa. Wataalamu wataeleza zaidi.
Unene hivyo tuukatae watu wote. Tule ila tuepuke kula kula. Kula kula ndio madhara yake hata.
 
Enzi za mwalimu ilikuwa lazima uwaeleze huo mwili umeupata wapi!
Ukiangalia picha za miaka ya 70 na 80 ni nadra sana kukuta matukunyema,kila mtu kanyooka.tatizo liko kwenye lifestyle,kula kula hovyo,kutofanya mazoezi na kutokuwa na elimu ya lishe
 
Nawaza tu. Hivi huyu anaweza kuwa na mke?
Ndiyo! sema lazima atakuwa na kimbaumbau kimoja chenye kujituma kwelikweli,hilo tumbo huwa linapigwa belt maalum halafu kimbaumbau anakuja juu wanaanza kazi (inaweza ikafanana na kusagana)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…