Inaonekana unakaa kwenu wewe[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Tatizo hii mada watu wanachanga vitu viwili
1)Kuishi nyumbani
2)utegemezi/kujitegemea
Kuna wanaoishi nyumbani mpaka miaka 40 na wengine mpaka wanazeeke ila wanajitegemea na zaidi kutegemewa na wengine.
Kuna wasioishi nyumbani na tegemezi kwa wazazi wake.
Malanyingi hivi vitoto vinavyomaliza form 4 na chuoni huko havina majukumu ya kuhudumia wazazi vinakimbilia kupanga na kuanzisha mada za kitoto kama hizi.
😂😂😂wale watoto wa mzee Yacobo walikaa kwao hadi wameota ndevu mimi nani.Inaonekana unakaa kwenu wewe[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Haha masikini bana eti anafukuza mtoto.
mit ni risk unaw3za vuna 3m endapo ikiunguaMwaka huu umekuwa mgumu sana kwangu mambo karibia yote hayajakaa vzr. Uzuri nilikuwa nimeandaa shamba langu la miti la kutosha Lina miaka nane kwahyo bado miaka miwili nivune na nikivuna sikosi ata milioni 15 Ila nawaza mpaka miaka miwili ije kuisha nitakuwa nafanya nini? nimejenga nyumba thamani Kama milioni 50 sijaoa nawaza sibora niuze hii nyumba nifanye michakato ya maisha kuliko kukaa kusubiri miaka miwili ya kuvuna miti wakati umri wangu ndo Kwanza miaka 30?
Mimi kukaa kwetu, wewe inakuhusu nini ?katika vitu ambavyo sikubaliani navyo ni huu msemo!! Jamani maisha yanapiga nyiee! Maisha yanachapa kama fimbo.
Ukiona by that age uko kwako unajimudu mambo ya maana mshukuru Mungu.
Kuna watu wame hustle sana lakini wapiiii, wamepambana sana lakini wapi.. washasalitiwa na marafiki, wapenzi, mitaa so the only option nikukaa home kuchora ramani za kutoboa kimaisha.
Siamini wamekaa home bila mipango kwa miaka 30.
Na wengi wanaopenda kuwa bully watu wa hivyo ujue hawajawahi kuwa katika hali hiyo.. ndugu yangu usiombe yakukute.. maisha sio fair kabisa..
Shukuru Mungu, shukuru kwa kila jambo acha kukebehi wenye maisha mabovu.
By the way nyumbani is the only safe place yakutulia kama mambo yatakuendea kombo.
Maana marafiki watakuchoka ukiish kwao na huna msaada, mwanamke atakukimbia au kukufukuza kama mambo sio mambo.
Lakini ukiwa home ndugu zako wa nyumbani hawatakuchoka na watakuvumilia wakiona focus yako.
Tupambane sana mpaka wale ma age mate zako wakuite MKUU, KIONGOZII, na majina mengine.
Au kwa mume wa dada yakoAisee bora kukaa kwa wazazi wako kuliko kukaa kwa mwanamke.
Huku na huku shamba linawaka motoMwaka huu umekuwa mgumu sana kwangu mambo karibia yote hayajakaa vzr. Uzuri nilikuwa nimeandaa shamba langu la miti la kutosha Lina miaka nane kwahyo bado miaka miwili nivune na nikivuna sikosi ata milioni 15 Ila nawaza mpaka miaka miwili ije kuisha nitakuwa nafanya nini? nimejenga nyumba thamani Kama milioni 50 sijaoa nawaza sibora niuze hii nyumba nifanye michakato ya maisha kuliko kukaa kusubiri miaka miwili ya kuvuna miti wakati umri wangu ndo Kwanza miaka 30?
Kama Mazingira yanuruhusu hakuna shida,kuna watu mpaka wanazeeka wanaishi Ukweni na Maisha yanakwenda!!Inaonekana unakaa kwenu wewe[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Akili inafunguka popote ikiaamua hata Kama unaishi kwa Shemeji!!Tatizo ukikaa home akiri haifunguki
Ukiona Mzazi hawafukuzi ujuwe bado wanahitajika hapo Nyumbani!!
Bora kwa Mwanamke unapata vyote viwili!!Aisee bora kukaa kwa wazazi wako kuliko kukaa kwa mwanamke.
Sio kwer mkuu,Ni nadra sanaAkili inafunguka popote ikiaamua hata Kama unaishi kwa Shemeji!!