Mmh, tofauti ya cm 32??? Kubwa kwa kweli, hata mie neh.
Huyu dada amegomea katukatu proposal ya marriage toka kwa huyu jamaa.
Dada ni mrefu 180cm jamaa 148huko, ananiambia anamlia tu tupesa twake. koh koh..
Ata ningekua miye ngegoma et
Ata ningekua miye ngegoma et
yaani ww...
na wewe kumbe unaangalia urefu wa nje...? angalia ndani!
Amna mie naangalia urefu wa dushee
Hata mie nisingekubali
Ata ningekua miye ngegoma et
unapenda midusheee ee?
ungegoma kuolewa au kuliwa?