[/QUOTE]Hahahahha Mr Rocky huyu jamaa ndo zake anapenda kuvaa maviatu marefu hahahah tena kuna wimbo flani ivi AY alishirikishwa na mdada mmoja jina limenikota ni mnaigeria ambaye sasa hatunaye tena R.I.P na huyu jamaa yupo pia ni dancer kavaa maviatu yanavisigino virefu QUOTE=Mr Rocky;11064351]Zinduna aise unatupeleka siko bana hapo uonavyo kuna mwanaume kweli mbona mimi simuoni aise
Hahahahha Mr Rocky huyu jamaa ndo zake anapenda kuvaa maviatu marefu hahahah tena kuna wimbo flani ivi AY alishirikishwa na mdada mmoja jina limenikota ni mnaigeria ambaye sasa hatunaye tena R.I.P na huyu jamaa yupo pia ni dancer kavaa maviatu yanavisigino virefu QUOTE=
Nafikiri mdada unayemsema ni marehemu Goldie Harvey, alishiriki big brother na alikuwa girl friend wa prezzo
ooooyeah mumy ndo huyo,AhsanteHahahahha Mr Rocky huyu jamaa ndo zake anapenda kuvaa maviatu marefu hahahah tena kuna wimbo flani ivi AY alishirikishwa na mdada mmoja jina limenikota ni mnaigeria ambaye sasa hatunaye tena R.I.P na huyu jamaa yupo pia ni dancer kavaa maviatu yanavisigino virefu QUOTE=
Nafikiri mdada unayemsema ni marehemu Goldie Harvey, alishiriki big brother na alikuwa girl friend wa prezzo