The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
- Thread starter
-
- #121
....naam, 'anakula kwa urefu wa kamba yake'...heheh....
Kwahiyo mbadala wa hili neno yaani kulisherehesha vizuri lionekane zuri machoni mwa watu twaweza kuita..."Mjasiriamali Binafsi"...lol.....unaona? money talks....ajira binafsi.
Mjumbe hauwawi.
Hana hadhi hata ya kusutwa live kwenye show ta Gatsby Salon sembuuse CNN na Larry King?Larry King live, modern msutano.
Hahahahaha!!! Una balaa wewe nikitolewa nduki...kwanza una shilingi ngapi ili twende sawa?
Sidhani kama ni mjadala mpya, ila ntautafutia siku nianzishe sred.
Ngoja tumalizane na kuwadi wa TF kwanza maana kamuudhi bht sana.
...
...."penye udhia penyeza rupia." ...
Hahhaaaa shemeji Mbu kanikataza ndo maana...ngemtaja mimi...lol!
Mbu hivi hii inakubalika eheee?Bht tusimharibie siku bana, huyu TF mchokozi sana....
Nióavyo mie...."penye udhia penyeza rupia." Penye mshiko, kuwadi ataitwa majina mazuri tu, mf "Shem"...."Shoga"...maisha ya kizazi hiki, hata mzazi anamkuwadia mwanae!
You will be setting a trap for yourself doing that!
....hahaha.....mjomba, hiyo 'ajira' ya kuunganisha kwa tafsiri yangu ndio ukuwadi wenyewe bana, (ashakum si matusi!)...
Sie tunaremba na majina mazuri tu, kama mkate na siagi ili kuficha 'dhana'...
Gaijin yaani wewe ndio umenimaliza kabisa kama sio kuniua...lol...The Finest muosha huoshwa.......inaonyesha wewe ulikwapua, sasa umekwapuliwa
Hahahaaa sidanganyiki mimi.......wasikushawishi umtaje bana....lol....'mjumbe hauwawi'...
Nyie wanaume, wake zenu mnaowaacha saloon siku mkiwategeshea microfone/tape recorders mtayasikia mengi kuliko kipindi cha 'mikasi' cha salama Jabir...
2012, kazi ni kwako, chaguo ni lako....
Binafsi nilidhani kuwa mtu akija akakujulisha kwamba anahitaji mawasiliano na binti (YY) na kukuomba msaada wa kumfikia (number ya simu au casual introduction) si tatizo. Nilitegemea kuwa shida iwe pale ambapo mtu unajiingiza 100% kushawishi/kubembeleza ili mahusiano yawepo. Halafu kama huyo ni binti (not married and not committed), ukuwadi unakujaje hapo??
Babu DC!!
The Finest muosha huoshwa.......inaonyesha wewe ulikwapua, sasa umekwapuliwa
Babu DC kweli hii sio ukuwadi RR alisema it's some kind of facilitationKwa hiyo kaka, hata mtu akiomba namba ya simu for good intention tusimpe?
Binafsi nilidhani kuwa mtu akija akakujulisha kwamba anahitaji mawasiliano na binti (YY) na kukuomba msaada wa kumfikia (number ya simu au casual introduction) si tatizo. Nilitegemea kuwa shida iwe pale ambapo mtu unajiingiza 100% kushawishi/kubembeleza ili mahusiano yawepo. Halafu kama huyo ni binti (not married and not committed), ukuwadi unakujaje hapo??
Babu DC!!
Nafikiri wengi wao wamekuwa wakitumika kukwapua wapenzi wa wenzao ndio maana inaonekana ni tatizo (just assuming)Hebu nielezeni tatizo la mtu kuwa kuwadi manake mpaka sasa hivi sijaliona kabisa kabisa :rolleyez:
Mbu hivi hii inakubalika eheee?
I that case kutoa namba ya simu au kuuza sehemu apendapo kwenda sio ukuwadi......
Hivi arranging a blind date for a friend nayo ni ukuwadi? Coz I thought ukuwadi is for benefits only...