Ewaaaaaa hapa umenena....
Hivi Kongosho jaribu kupata hii taswira nyengine...lol
Wewe na Bossman mlivodondokeana, halafu kuwadi anakuja anaanza kukwambia aah usimshobokee bossman bana mbona kuna moskwito mnyonya damu bana yuko poa mi namfahamu kitambu na yeye anataka mchuchu...
wakati huohuo anafanya maongezi na Bossman na kukuponda ile mbaya na kumwambia Bossman ntakuunganisha na Mdada ninamfahamu vizuri....
Hivi huo ni ukuwadi au ni zaidi ya ukuwadi?
mwanamme yoyote anaekuwadiwa huyo sio mwanamme,kwani hajiamini.na ataishia kutumiwa tu
mwanamme yoyote anaekuwadiwa huyo sio mwanamme,kwani hajiamini.na ataishia kutumiwa tu
bht, huyo si kuwadi tu, bali na mkaanga sumu
Akaajiriwe kwenye kiwanda cha mabomu maana hafai kuishi na bin adam.
Atakuwa anakuharibia makusudi. Kama ni mwanamme, mvalishe skin tait na koti
Huyo ni mwanaume Kongosho...bht, huyo si kuwadi tu, bali na mkaanga sumu
Akaajiriwe kwenye kiwanda cha mabomu maana hafai kuishi na bin adam.
Atakuwa anakuharibia makusudi. Kama ni mwanamme, mvalishe skin tait na koti
Kuna haja ya kutafuta tafsiri ya ukuwadi......
na uwezeshaji......
.....hahaha, yategemea umeshikilia kisu kwenye mpini au kwenye makali kumhukumu hivyo...
Hii yaitwa facilitation...:A S 41:
Naona mzuka ngoja nipokee mshahara wa mwezi ujao twende tukale bata palae samaki samaki m.city
Huyo ni mwanaume Kongosho...
Sasa huyu ukimkodishia matarumbeta, ukanunua na sare ya madera kwenda kumsuta kwa hisani ya Gea na Dina kuna ubaya?
'Kuwadia'....-fanya tendo la kumtongozea mtu mwanamke au mwanaume. 😉
'Kuwadia'....-fanya tendo la kumtongozea mtu mwanamke au mwanaume. 😉
TF mbona umekimbia sasa?...kuwadi ni mjumbe tu, kwani mjumbe anauwawa? mpokea ujumbe ndio mwenye dhamana ya kuukubali au kuukataa ujumbe.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni bana...
TF nishakujibu awali, ....huyo mw'mke ndio mkosa, ....tafuta mnyonge wako nae uchinje!
Mchana mwema.
Kunakuwaga na facilitation fee?
Huyu msute staili upendato, tena ukiweza msuta LIVE on CNN itakuwa saizi yake.
Ingekuwa ana nia nzuri, angesema tatizo analoliona bila kumtafutia mbadala
Maana kila mt anajua anachohitaji.
Mbu kama wewe ni rafiki yangu, nikiona unapiotea nitakuambia
Sidhani kama nahitaji kukukuwadia kwa mwingine
Halafu na yule nayetaka umwache, naye nimkuwadie kwa mwingine
Who am I? Ina maana mie ndo najua unachohitaji kuliko hata wewe mwenyewe?
Ukute hata mahusuano yangu hayana afya kihivyo.
Hahahaha!!!!!TF mbona umekimbia sasa?...kuwadi ni mjumbe tu, kwani mjumbe anauwawa? mpokea ujumbe ndio mwenye dhamana ya kuukubali au kuukataa ujumbe.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni bana...
TF nishakujibu awali, ....huyo mw'mke ndio mkosa, ....tafuta mnyonge wako nae uchinje!
Mchana mwema.