The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
- Thread starter
-
- #41
Lol...bht nini mbaya tenai find it very insulting....
Unakuwadiwa vile huwezi kujua utakacho?
Huna uwezo wa kufanya maamuzi binafsi?
Domo lako zege?
Huu uzi umeniudhi maana umenikumbusha jitu moja useless sana....
i find it very insulting....
Unakuwadiwa vile huwezi kujua utakacho?
Huna uwezo wa kufanya maamuzi binafsi?
Domo lako zege?
Huu uzi umeniudhi maana umenikumbusha jitu moja useless sana....
mwanamkehana kosa bwanawote watatu hawafai, kuwadi, anayekuwadiwa na mwanamke mwenyewe.
Mwanamke na akili timamu hawezi kubali mwanamme ambaye hana hata uwezo wa kujielezea
mwanamme anayekuwadiwa, ana matatizo, sio mwanamme kamili
mwanamme kuwadi, yeye asamehewe maana sidhani kama anajua hata kaja dniani kufanya nini.
Wewe una rafiki yako wa damu damu hajaoa sasa kila akikutembelea ofisini kwako anaona kabinti pale alafu jamaa amekazimia kweli kweli anataka kufika bei na kuweka ndani kawe kashemeji kako, sasa gia ya kuingia pale anashindwa anakuomba wewe kama rafiki yake umtengenezee njia ya kukutana na huyo binti sasa wewe hapo utakuwa umefanya kosa kumsababishia jamaa ako apate mchumba?
TF,
Naomba nikufahamishe kuwa makuwadi wazuri sana(kwa sasa) ni Wanawake wenyewe!
Mimi nikimtaka mke wa Kongosho(assuming ni mwanaume) namtumia Ashadii!...anasaundisha na anaupeleka mzigo hadi eneo la tukio, na ananiDIPU kunijulisha kuwa niende kuhangaika!
Kwangu mie, kama mwanamme hawezi mfuata mwanamke face to face, basi hafai hata kuwa jirani.
Mie mke wangu umimtumia kuwadi anakukimbiza na panga na ukienda mwenyewe anakukimbiza na mwiko.
Na ukimtuma AshaDii namvua baibui.
....umeona ee!?
Haya mambo yatokana lilipokugusa!
Kama umefaidika, watoa jina zuri, "mshenga"...
Then shem.....nk
Kama limekukwaza ku roho...utaskia majina yote mabaya, " kuwadi al maloun ibn kleb!"...
Kwangu mie, kama mwanamme hawezi mfuata mwanamke face to face, basi hafai hata kuwa jirani.
Mie mke wangu umimtumia kuwadi anakukimbiza na panga na ukienda mwenyewe anakukimbiza na mwiko.
Na ukimtuma AshaDii namvua baibui.
RR zote zinahusika..halafu hiyo ya tatu unaweza kunipa mfano kidogo...Kuna scenarios mbili au tatu labda...
Sasa ni kipi unachosema hapa.....
- mwanaume (rafiki yako) kumuunganisha mpenzi wako kwa mwanaume mwingine.......
- mwanaume (si rafiki yako) kuwa 'middle man' kwa mpenzio
- mwanaume kumweka mpenzio katika mazingira 'hatarishi'; ila bila kukuwadia
Au concern ni kwa nini asitongoze yeye na 'kutongozea' wengine?
Nataka nimtaje Mbu, aache ukuwadi ni tabia mbaya sana...
Mwajey kakuvalisha soksi leo?...lol
Wote watatu hawafai, kuwadi, anayekuwadiwa na mwanamke mwenyewe.
Mwanamke na akili timamu hawezi kubali mwanamme ambaye hana hata uwezo wa kujielezea
Mwanamme anayekuwadiwa, ana matatizo, sio mwanamme kamili
Mwanamme kuwadi, yeye asamehewe maana sidhani kama anajua hata kaja dniani kufanya nini.
Ukuwadi ....mbaya sanaLol...bht nini mbaya tena
Mende0 aisee tunaenda sawaswa kwenye hii mada naona umeingia deep zaidi nimeipenda hii...Halafu naona Mbu kabadilisha ameamua kumuita Mshenga....lolNdo hapo Mbu mi mfano namtaka mtoto wa Kihindi nitampataje? Si lazima nitumie mbinu ya kuwatumia mahouse girl au haouse boy ili waweze kunilink nae nibebe mtoto wa mdosi kilaini sasa hapo huyu aliye niunganisha na mtoto wa mdosi atakuwa amefanya kosa? je anastahili kuitwa neno baya?
Mbu...lol...ngoja nimsubirie Soulmate wako nione atasema nini....umeona ee!?
Haya mambo yatokana lilipokugusa!
Kama umefaidika, watoa jina zuri, "mshenga"...
Then shem.....nk
Kama limekukwaza ku roho...utaskia majina yote mabaya, " kuwadi al maloun ibn kleb!"...
Ila wanawake(isipokuwa mabaamedi) hawauwezi ukuwadi kama wanaume na msiniulize kwa nini.