....haiwezekani kwako, wenzio mke akienda sokoni kapu linajaa....akienda mume kapu halijai hata robo....mjini shule.
Thanks for looking out for me!!
heheeh here comes ze king for ze reskyu.Dah! Mkuu naona jibu lako limeconclude tofauti na mada ilivyo, umesoma katikati ya mistari nini? lol.jf also can be a home for broken-hearts....
be careful.....
jf also can be a home for broken-hearts....
be careful.....
Kongosho. . .Ndo maana nimekupa ovaroli wewe, mie mwenyewe risepshen kama mbuzi ila naipendaje?
Kongosho. . .
Koniie obheja gete...unene hu'ung'wenga wing'we!!
Bishanga. . .
Hivi we unajua kua Arumeru Mashariki watu wananyongwa siku hizi?!Ongea vizuri na Bwa'Nchuchu nikwachie ghetto langu la UngaLi wakati nahamia TMK.
Bwa'Nchuchu. . .
Wasukuma bana. Bishanga namchekea tu asije akakosa chakujifagilia hapa mjini.
Hahaha Bishanga bana yaani unasikiliza hawa shaurilo endelea kusikiliza Lizzy anachukuliwa na BwaNchuchuI was just guessing,kumbe ni kweli yalimkuta? Poor TF,nikimjua mkuwadia na mkuwadiwa wa bibi wa TF hakika nitawamwagia tindikali.MJ1 mwaga full datas hapa nizifanyie kazi.
Mimi na BeNchuchu tutakulinda against any harmUnacheka unadhani mazuri?!
Reception ikivurugwa ntakosa wageni ujue!!
BTT
Mbona mmemzonga sana kuwadi wakati yeye ni kama mailman tu?!Chakukasirikia ni ujumbe na aliyeutuma.
Mimi na BeNchuchu tutakulinda against any harm
Hahaha yaani bia na nyama and the job is doneInawezekana ukuwadi ni tatizo kubwa kuliko nilivyofikiri. Najua kuna dada moja yeye anataka bia na mnyama tu anakusogezea yoyote aliye kwenye proximity yake.
Mimi na BeNchuchu tutakulinda against any harm
Anzeni kwa kuniwekea bodigadi. . .You are my sidekick...that's what's up.
Lizzy,unaelewa kwa nini nimehamia arumeru from U ltd,just to give you space utafakari kwa kina mazungumzo yetu ya juzi, i truly meant what i said.Kongosho. . .
Koniie obheja gete...unene hu'ung'wenga wing'we!!
Bishanga. . .
Hivi we unajua kua Arumeru Mashariki watu wananyongwa siku hizi?!Ongea vizuri na Bwa'Nchuchu nikwachie ghetto langu la UngaLi wakati nahamia TMK.
Bwa'Nchuchu. . .
Wasukuma bana. Bishanga namchekea tu asije akakosa chakujifagilia hapa mjini.
Lizzy,unaelewa kwa nini nimehamia arumeru from U ltd,just to give you space utafakari kwa kina mazungumzo yetu ya juzi, i truly meant what i said.
TF,ya Lizzy na kinyonyeo wala yasikukondeshe,huyu lactogen saizi yangu,mi na yeye tupo kandahar,we sikilizia muziki cnn,mi ndo bishanga bana,ka vipi ntauza hata nyumba yangu Tenerife niwekeze kwenye mtanange huu.Hahaha Bishanga bana yaani unasikiliza hawa shaurilo endelea kusikiliza Lizzy anachukuliwa na BwaNchuchu
Lizzy,unaelewa kwa nini nimehamia arumeru from U ltd,just to give you space utafakari kwa kina mazungumzo yetu ya juzi, i truly meant what i said.