Mwanaume..."KUWADI"

Smile inatosha unaona sasa wanume umewaacha utupu..Yaani mtu anamwambie mkewe wakamdo ili watoto wale.LOOOOOOOOOO muraaaa haiwzekani poti.

....haiwezekani kwako, wenzio mke akienda sokoni kapu linajaa....akienda mume kapu halijai hata robo....mjini shule.
 
Lol...kweli Mbu..."Pimp my ride"
 
Last edited by a moderator:
Kuna jamaa mmoja huyo balaa anawakuwadia wake za watu kisawasawa
 
Lol...kweli Mbu..."Pimp my ride"

.....kha! The Finest hebu uchune kuni quote mida hii mwj1 anatoka kazini ujue?,...nisijekosa vuliwa soksi mie....lol

Ushapata jibu, au wewe bdo una donge na 'mshenga?'....haha, mjini shule....2012, dunia ni yako, chaguo ni lako....
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke zaid sababu yeye ndio wakusema ndio au hapana,na huyu Kuwadi anatakiwa akuwadiwe mwanamme.
 
kha hicho kinachotuma lazima kitakuwa kisusio kilichochacha itabidi kiangaliwe vizuri kabla ya kutumiwa.
 
The Finest: Wa kulaumu ni mwanamke, always.
  1. Huyo kuwadi anajulikana ni mtu hana msimamo, he eats from the hands of he who offers most. So when you have him around you, kaa ukijua kabisa he is there for the little benefits he gets from you, not because he likes you.
  2. Huyo mwanamke ndie mwenzio, na ndio umejenga contract nae. So kama anapangika na kamtu ka hivyo kama hako, tena on behalf of somebody else, then she is not worth it.
(Kama sijaelewa context naomba Bwa'Nchuchu anambie -tafadhali- nifute haraka hii post. lol)
 
Last edited by a moderator:

Hi my friend...it's been a minute.

Last I saw you was at BossHog's birthday smash bash. Everything good?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…