Mwanaume kuwa na Surname

Habari ya W/end wanaJF

naomba kuuliza
mwanaume anaweza kubadilisha ubini (Surname) yake na kutumia ya mkewe?

No hapana... nakataaa kabisa...>> haiwezekani hiyo kitu! labda mwanaume akiwa ameolewa yeye.. katolewa mahari anaweza akabadili
 
Blaki Womani naomba uongeze size ya font.....kabla sijabadilisha mawazo!:banplease:
 
Ni jambo dogo tu mkuu sana Asha D,kwenye vikao vya Chama utakua ukiunga tu mkono hoja zinazotetea maslahi ya wanaume bila kuwakandamiza wanawake ilihali kwenye vikao vya uwakilishi ukipinga hoja zinazokandamiza wanaume...nnunu nitaunda tume ya kufatilia michango yako dhidi ya wenye jinsia usiyokua nayo na nikijiridhisha kua unafaa utaingia moja kwa moja ukipitia viti maalum vya uwakilishi ambavyo ni viwili tu na kimoja tayari nimeshampa mke wangu!

Da! kazi kweli kweli mara hii ushajipendelea ha ha hahah...
umedhihirisha ule usemi wa kizuri kula na nduguyo.....lol

MI SIPENDI SANA VITI MAALUM,
RAHA YA KITU BANA UKIPATE KWA KUTOKWA NA JASHO,
LAKIN HIVI VYA UPENDELEA AU BURE mmh!! NAOGOPA MALIPO YAKE MAKUBWA,
PIA VINAPONYOKWA KIRAHISI KSB VILIPATIKANA KWA URAHISI..
 
Habari ya W/end wanaJF

naomba kuuliza
mwanaume anaweza kubadilisha ubini (Surname) yake na kutumia ya mkewe?

Naomba majibu ya maswali haya:
1. Nani anayehama kwao na kumfuata mwenziwe
2. Nani anayetolewa mahari
3. Nani anayeoa (Kwa kiswahili). Anayeoa ndiye mtenda na anayeolewa ni mtendwa.
4. Mtoto akizaliwa hutumia surname ya upande upi
5. Maandiko yanasemaje kuhusu kuoa na kuolewa

Got the answer? Thank you!
 
Mh mie mwanaume wa kubadili ubini wake kuwa wangu wala simuhitaji aisee, kwa nini afanya hivyo? haileti heshima kabisa. mwanaume abaki na ubini wake tu
 
Hivi mbona mnalazimisha uchokozi aisee? Nalemaga gete! yaani mie ndo kibao kigeuke niwe ..........Masawe?

Ala namhala niyo gete balidaka gudugusha abene...Unene ngosha nibadilishwe eti niitwe Mabula Masawe? bebenangho...
 
Jamani jaribuni kusoma vitabu vya DINI sometimes unaweza anzisha thread yako tukakuhisi kutokuwa nauelewa wa mambo fulani. Sasa wewe Black uliona wapi?kwa nani? na kwanini ilitumika hivyo? unajua kuna watu wanafoji ukiniambia uliona kwa hivyo naweza kubali.

Wanaume ni vichwa takeni msitake, anzisheni hiyo mitandao ya kike na mambo yote IT WILL NEVER CHANGE.
 
Blaki, imetokea hakuna ualakini? Huyo mwanaume kauolewa au kaoa maana mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh...yote yawezekana iwapo tu ataolewa huyo mwanaume vinginevyo mhhhh simo

Hii dunia ina mambo kweli
siku anakufa ndio watu wanajua kwamba ubini ni wamwanamke
ndugu wa mume walipewa nafasi ya kutoa salam za rambirambi wakasema
hawamtambui kwa jina lililokuwa linatajwa wao wakatumia ubini wake original

Kama kuna uwalakini wanaujua wao, niliongea na ndugu wa marehemu akanieleza kulikuwa hakuna
shida yeye alipooa alisema atatumia ubini wa mkewe na kuzikwa kazikwa huko kwenye ubini aliokuwa anatumia
 
Jamani jaribuni kusoma vitabu vya DINI sometimes unaweza anzisha thread yako tukakuhisi kutokuwa nauelewa wa mambo fulani. Sasa wewe Black uliona wapi?kwa nani? na kwanini ilitumika hivyo? unajua kuna watu wanafoji ukiniambia uliona kwa hivyo naweza kubali.

Wanaume ni vichwa takeni msitake, anzisheni hiyo mitandao ya kike na mambo yote IT WILL NEVER CHANGE.

Nimeshasema sio kisa cha kubuni nimeshuhudia kwa macho na masikio yangu
mie mwenyewe sikuamini na ni familia nipo nayo karibu sana
kila mtu kwenye msiba alishangaa wakati ndugu wa marehemu waliposema ubini wa marehemu ni
...................... na sio ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Caroline Danzi nakutafuta rafiki.....
 
Nimeshasema sio kisa cha kubuni nimeshuhudia kwa macho na masikio yangu
mie mwenyewe sikuamini na ni familia nipo nayo karibu sana
kila mtu kwenye msiba alishangaa wakati ndugu wa marehemu waliposema ubini wa marehemu ni
...................... na sio ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Black womani, namtafuta huyu dada sina bahati nae, ngoja naona tu itabidi nim PM....
 
Back
Top Bottom